Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,547
- 10,272
Yaani ni sawa na kuwa na uwezo wa kung'oa watoto wa geti kali kisha wa uswazi wanatushinda
Kaitoa kwa eddo
Makala Safi katoa wapi yy na mungu wake...Kaitoa kwa eddo
Aliandikaga eddo kumwembe kitambo
Kumwembe aliandika kwa kiingereza? Hapa kuna mahali unakuta kiingereza na kimetafsriwa. Kumwembe aliandika kiingereza kwenda gazeti gani? Mwanaspoti?Aliandikaga eddo kumwembe kitambo
Ila Mimi niliisoma kwa eddo kitamboKumwembe aliandika kwa kiingereza? Hapa kuna mahali unakuta kiingereza na kimetafsriwa. Kumwembe aliandika kiingereza kwenda gazeti gani? Mwanaspoti?
Inawezekana Edo na mleta uzi wote wametoa kwa mtu mmoja.Ila Mimi niliisoma kwa eddo kitambo
Jamaa anaingilia mpaka maisha ya mtu binafsi nje ya uwanja " Huyo mzee vipi !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana man u ilidumu kileleni muda mrefu.Fergie alipenda sana kukuza mambo,anaonekana alikuwa na mambo ya kizee sana.