Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,811
- 10,819
Ukiona mtu anashindwa kutofautisha usafi na uchafu ujue uyo ni Zero brain. Wewe huwezi nifundisha mana kama umeshindwa kumuelewa mtoa uzi.wewe utakua na tatizo la akili si bure kama unafikiri utoko ndio ute wa mapenzi wa mwanamke ..
sasa ngoja nikupe elimu ute wa mwanamke wa mapenzi unakua kama white egg unavutika ..
sio hiyo mitindi yako unayoichezea huko ukaona ndio ute pole weeh..
inapokuja swala la udi ni ushamba tu unakusumbua udi ni kama perfume unavyopulizia kwenye nguo same udi
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nahitaji kitu natural ,
Ndo Mana hamriziki kwa sababu mnajimodify sana na kupelekea kuliwa matunda kimasihara na tamaa zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app