- Thread starter
- #81
Yeah kuna magonjwa hushambulia kwa bibi, yanasababisha kuongezeka kwa hiyo discharge
1.Vaginal Candidiasis
2.Bacteria Vaginitis
3.UTI
Tiba huchukua 5 to 7 days unapona kabisa, no discharge again.
Kama hujawahi ugua wewe ni wa kipekee sana.
[/QUOTE]
1.Vaginal Candidiasis
2.Bacteria Vaginitis
3.UTI
Tiba huchukua 5 to 7 days unapona kabisa, no discharge again.
Kama hujawahi ugua wewe ni wa kipekee sana.
[/QUOTE]
ona sasa kumbe unapataga tatizo unakua mwingi aahaaaaa ...
sijawahi kwenda hospital sbb ya utoko aahaaa sijui fungus kumbe nyie msie jisafisha ndio mnaendaga hospital aahaaaaa sasa nishajua aahhaaaa uchafu ukiwazidia inabidi muende hospital
Sent using Jamii Forums mobile app