#COVID19 Usivae barakoa wakati wa kushiriki michezo inayotumia nguvu kubwa

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
624
934
Barakoa (2).png

Haishauriwi kuvaa barakoa wakati wa kushiriki michezo au kufanya shughuli za mwili kama vile kukimbia, kuruka ili kutoathiri kupumua kwako.

Kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi inaweza kuwa jambo hatari. Hii ni kwa sababu, unapofanya mazoezi, mapafu yako yanahitaji hewa zaidi na wakati umevaa barakoa, unaweza kusababisha kizuizi katika mtiririko wa hewa kwenda kwenye mapafu.

Hata hivyo, ni muhimu kukaa umbali wa angalau mita 1 kutoka kwa wengine

Kuhusu kuvaa barakoa maeneo ya umma, WHO inashauri watu kila wakati kutii taratibu zilizowekwa na mamlaka za maeneo yao.

=====

You should not wear a mask when playing sports or doing physical activities, such as running, jumping or playing on the playground, so that it doesn’t compromise your breathing. However, remember to maintain at least a 1-metre distance from others, limit the number of friends playing together, and respect hand hygiene.

Regarding wearing masks in schools and other public places, WHO advises that people always consult and abide by local authorities on recommended practices in their area. In countries or areas where there is intense community transmission of the virus and in settings where physical distancing cannot be achieved, WHO and UNICEF advise decision makers to apply the following criteria for use of masks in schools (either in classes, corridors or communal areas) when developing national policies:

For children between six and 11 years of age, the decision to use a mask will vary from place to place, and will depend on several factors, such as the intensity of transmission in the area where the child lives, local norms that influence social interactions, the child’s capacity to comply with the appropriate use of masks and availability of appropriate adult supervision, and other factors.

Source: WHO
 
Mbona obvious hiyo. Swali lilikua ni sawa kusex (ng'adu kwa ng'adu a.k.a kavu) na asiyechanjwa?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom