Usitukane Mamba Kabla ya Kuvuka Mto: Yaani WaTZ ni Makokoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usitukane Mamba Kabla ya Kuvuka Mto: Yaani WaTZ ni Makokoto?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 31, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kama kuna mtu amemharibia JK ni Mkapa.

  Kumuita Lipumba kokoto? CUF unawaita kokoto kabla kura hazijapigwa Zenji? Mtaniambia kama huyo Shein atashinda. Nitakula maneno yangu.

  Tena nashukuru Ilirushwa Tanzania nzima kupitia TBC.

  Uitwe kokoto kabla ya kupiga kura halafu kesho yake (leo) uchague CCM??

  Unalaana au??
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha wakafie mbali huko. Wameshaifilisi Tanzania kwa muda mrefu hao
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kutukanwa kwa ufahamu wa wtz wataipigia ccm kura,umesahau waziri wa mkapa alisema hata tule nyasi lakini lazma anunue ndege ya rais?wtz badala ya kuinyima kura waliipa ccm 80%win,hao ndio wtz bwana
   
Loading...