Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
54,703
2,000
Nina rafiki yangu wa zamani hata video call hapokei kama hajapaka make up. Muda wowote ikiingia video call anapiga puti ndo anapokea. Yule nae alikua na sura nzuri na umbo la kichaga ila kwenye picha ana shape mi simkuti
Video call za kazi gani sasa, ikukute bila make up.... hakuna kupokea, hakuna kutuma picha og lazma maflekechee yafanyike πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ubaya ubaya tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom