usitembee usiku!

Nov 30, 2013
37
5
jamaa mmoja alikuwa anatembea usiku,njia ielekeayo nyumbani kwake imekatiza makaburini,na siku hiyo hakukuwa na mbalamwezi.,
wakati anapita (anaogopa kwa sababu yuko peke yake)kwa mbele akamuona mtu,akafarijika,
akamkimbilia ili watembee wote,.
Alipomfikia akaanzisha stori:,
jamaa:dah! Haya makaburi yanatisha! Nayaogoga kweli!
Akajibu: hata mimi nilivyokuwa mzima nilikuwa nayaogopa.
Jamaa: WHAAT??!!,,,..!
Kifuatacho hapo siijui''..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom