Usitegemee mabadiliko, JK kumteua Pinda Mizengo Peter kuwa PM...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Nafasi ya Uwaziri Mkuu haina mjadala na ya kuwa JK ambaye ni jemedari mpinga mabadiliko ataendelea na PM Pinda Mizengo ikiashiria ya kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba kwa miaka mitano ijayo labda kama wanaharakati wataingia barabarani kwa maandamano na kuvumilia maji pilipili na mabomu ya machozi kudai mfumo mpya wa kuendesha nchi ubadilishwe ili kuzuia machafuko ambayo lazima uchaguzi ujao yatatokea kama mfumo wa uchaguzi utakuwa huu huu wa CCM, NEC na Idara ya mashushushu kutuchagulia mafisadi kututawala kinyume na misingi ya kidemokrasia...........

Wale wanaofikiri Pinda hana sifa hawaifahamu katiba yetu ambayo ipo wazi kuwa Mbunge yeyote mwenye jimbo anazo sifa za kuwa Waziri Mkuu na hakuna mahali ambapo wabunge ambao wamepita bila ya kupingwa wamebaguliwa hata kidogo..........

Ninaomba kuwakilisha................
 
Mkuu hili swala la mtu kupita bila kupingwa hata mimi linanikanganya mkuu...ila swali langu ni kuwa ni kitu gani kilichowazuia kusimamisha wagombea kupambana na hawa waliopita bila kupingwa???...kwani hata kama walikuwa wanakubalika katika maeneo yao ya kiutawala bado wananchio wana haki ya kupewa mtu m'badala ili demokrasia ya kweli itendeke...
 
Ninaomba kuwakilisha.
...............

Unaomba kuwakilisha nini,unaongea kwa niaba ya nini,nani?? Labda ulimaanisha Ninaomba kuwasilisha
 
Mkuu hili swala la mtu kupita bila kupingwa hata mimi linanikanganya mkuu...ila swali langu ni kuwa ni kitu gani kilichowazuia kusimamisha wagombea kupambana na hawa waliopita bila kupingwa???...kwani hata kama walikuwa wanakubalika katika maeneo yao ya kiutawala bado wananchio wana haki ya kupewa mtu m'badala ili demokrasia ya kweli itendeke...
Ukweli ni kuwa NEC ni bomu na ndiyo maana imejenga sheria zao ndogondogo ambazo zinabeza hata katiba..........haiwezekani pawepo na kupitishwa bila ya kupingwa kwa kuwang'oa wale wa upinzani kwa kutumia hoja za kiufundi ambazo walipaswa kuzisawazisha bila ya kufuta wagomba na hivyo kuwanyima wapigakura haki yao ya msingi ya kujichagulia viongozi wao wenyewe.................
 
Unaomba kuwakilisha nini,unaongea kwa niaba ya nini,nani?? Labda ulimaanisha Ninaomba kuwasilisha

Kuwasilisha mada.................................au niseme nguvu ya hoja???????????????????????????????????????
 
Kumteua Pinda utakua uamuzi wa busara kupunguza wastaafu wa cheo cha Waziri Mkuu ambao huendelea kulipwa na kuhudumiwa na Serikali yetu. Hata Mkapa alikaa na Sumaye kwa miaka kumi
 
Doesn't make any difference just a good cop and the bad cop...
 
Awepo Pinda au asiwepo kuna tofauti gani kama wanaamua kulazimisha kuwa viongozi wetu?
Hata Pinda ni zao la hao hao tu. Mimi naona sina rais bado. Huyu aliyepo si chaguo letu watanzania bali ni chaguo la tume ya uchaguzi.
 
Nafasi ya Uwaziri Mkuu haina mjadala na ya kuwa JK ambaye ni jemedari mpinga mabadiliko ataendelea na PM Pinda Mizengo ikiashiria ya kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba kwa miaka mitano ijayo labda kama wanaharakati wataingia barabarani kwa maandamano na kuvumilia maji pilipili na mabomu ya machozi kudai mfumo mpya wa kuendesha nchi ubadilishwe ili kuzuia machafuko ambayo lazima uchaguzi ujao yatatokea kama mfumo wa uchaguzi utakuwa huu huu wa CCM, NEC na Idara ya mashushushu kutuchagulia mafisadi kututawala kinyume na misingi ya kidemokrasia...........

Wale wanaofikiri Pinda hana sifa hawaifahamu katiba yetu ambayo ipo wazi kuwa Mbunge yeyote mwenye jimbo anazo sifa za kuwa Waziri Mkuu na hakuna mahali ambapo wabunge ambao wamepita bila ya kupingwa wamebaguliwa hata kidogo..........

Ninaomba kuwakilisha................

Sasa wewe unafikiri atamchagua nani zaidi ya Pinda!!?? Labda Rostam au chenge na Karamagi hamna mwingi ni Pinda tu ndio anaonekana msafi na mtiifu kwake
 
Kama walivyochangia wadau wengi kumteua Pinda hakuna tatizo. Ni swa kuvaa Nguo safi(Pinda) huku mvaaji ni mchafu(JK) kupindukia. Tena JK kwenye kabati lake kachanganya nguo chafu na safi. kwake haoni tatizo.

Mbaya zaidi wachafu(Lowasa,Chenge,etc) wamekubali kukaa na wasafi(Tibaijuka, etc) na wasafi wanakubali kukaa na wachafu.

Lets wait and see hii comedy Show ya miaka mitano itakuwaje.

Kifupi i PM wa JK hata angekuwa Obama, Cameron, Mbeki ni Kazi bure.
 
Back
Top Bottom