Usitamani mali ya mtu mwingine lakini huyu mke wa mpemba lazima Nitaishi nae

Binti kigori kabisa, mweupee pee, kitako cha kubinuka kama tela, hilo ijabu anavyovaa, lipsi za mdomo zilivyokaa na marashi anavyonukia ndio basi tena,siku akitupia tight bamba na kijora mchoro unavyochoreka huko nyuma zero mie niko hoi,

Tayari ameshadata na kiepe yai mixer kachori na mishikaki ya kuku ya hapa kiwandani kwangu, kwenye kiwanda cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Mme wake ni mpemba ana kazi kazi za kuuza uza viungo, na marashi huko mjini kati,
"Ndugu yangu mpemba nikuombe tu Samahani mkeo ikipita kesho kutwa sijamlamba sijui aisee, utanisamehe sana nimeshindwa kuvumilia mkeo ni Chombo amenishawishi"
Nimemtamani mkeo na tayari ameshanasa kwenye Ndoano yangu.

Ukitaka kuniroga we niroge tu, lakini mkeo lazima niishi nae.
Niko tayari.

Cc Zero IQ
Binadamu huangamia kwa kukosa maarifa.....

Endelea tu kutanguliza tamaa koko....

#SiempreJMT
 
Live tena?
Huo mzigo sio poa mkuu nasubiri mtanange wa simba uanze na mimi nianze mtanange wangu, maana huyo mpemba mwenyewe ni shabiki kindaki ndaki wa simba sc,
Na game inachezwa ground ya Nyumbani dodoma lazima ataenda kutazama game Jamuhuri
 
Jamaa kama yupo humu, basi anakuchora tu.
 
Ungemla ndo uje utoe ushuhuda ,apo both team score .Bongo konyo Wapemba wote washabonyezana,watafilisi kiwanda.Endelea kumhudumia mama kijacho
 
Binti kigori kabisa, mweupee pee, kitako cha kubinuka kama tela, hilo ijabu anavyovaa, lipsi za mdomo zilivyokaa na marashi anavyonukia ndio basi tena, siku akitupia tight bamba na kijora mchoro unavyochoreka huko nyuma zero mie niko hoi.

Tayari ameshadata na kiepe yai mixer kachori na mishikaki ya kuku ya hapa kiwandani kwangu, kwenye kiwanda cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Mme wake ni mpemba ana kazi kazi za kuuza uza viungo, na marashi huko mjini kati, "Ndugu yangu mpemba nikuombe tu Samahani mkeo ikipita kesho kutwa sijamlamba sijui aisee, utanisamehe sana nimeshindwa kuvumilia mkeo ni Chombo amenishawishi" Nimemtamani mkeo na tayari ameshanasa kwenye Ndoano yangu.

Ukitaka kuniroga we niroge tu, lakini mkeo lazima niishi nae.
Niko tayari.

Cc Zero IQ
Usitamani mke wa mtu ndio ilitakiwa iwe kichwa cha uzi.
 
Back
Top Bottom