Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Juzi tu wife..kamkopesha mamkwe hela ambayo tuliipangia matumizi mengi...hata sijui kama hii hela itarudi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wife Kesha kupiga! Alafu hata hakuogopi! Maana wife wangu akitoa pesa yoyote kwa ndg yake bila kunihusisha tangu mwanzo,itabidi yeye ndiyo awajibike kwa uzembe wake!!
 
Wapalestina ni wachaga wa Machame, sijui kwanini wanaitwa hivyo
Wapalestina wale wanapambana na waisrael kule ukanda wa gaza huko mashariki ya mbali ni watu wa visasi na kuanzisha shari muda wowote kama asili yao ilivyo.

So watu waka adopt hilo jina na kuwapa wanawake wa machame sababu ni watu wa kupenda kuanzisha shari ndani ya nyumba, hawana heshima na utii kwa mume. Wanatazama masilahi yao na ni watu wa kujilinda masilahi yao tu sio wastaarabu.
 
Wapalestina ni wachaga wanaotokea Machame. Historia yao ni kwamba huko zamani kuliwahi kutokea vita kati ya wamachame na wachaga wengine nadhani wakibosho kama sijakosea.

Sasa wamachame wakashindwa ile vita na kwa sheria za zamani wanaoshinda vita wanajishindia pia wanawake wote kama mateka. Basi wale wanawake waliochukuliwa mateka wakaanzisha "secret society" na kuunda "pact" lengo kubwa likiwa ni revenge kwa kuwaua kwa siri wale wanaume waliowachukua mateka!

Mawasiliano yao walikua wanafanya kwa siri sana kwa kutumia VPN, end to end encryption na data srambling kiasi kwamba hawakuweza kushtukiwa, ila baada ya muda watu wakawa wanashangaa tu kila mwanaume aliechukua mateka baada ya muda anakufa katika mazingira ya kutatanisha, na hata forensic investigations zilipofanywa na CIA, homeland security, FBI nk, bado cause of death ili remain inconclusive! Basi ndio jina "wapalestina" lilipotokea na mpaka leo inaaminika ukioa mwanamke wa sehemu hiyo ipo siku tu atakutumbua utumbo.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kudadadeki meen we ni noma umeilezea kitaalamu sana.....
 
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Tabia mbaya ya mtu mmoja siyo ya watu wote
 
Ukweni pita Kama Petrol Station panawaka anytime Kama si moto Basi wizi
 
Back
Top Bottom