Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

😀😀😀
Ila baadhi ya wanaume wa JF kweli vigeu geu leo hii mgombani pamekua pachungu!!!!😀😀😀😀😀
 
Wazazi wa Kinyakyusa Wana utu pia wastaarabu ila ndugu zetu huko kwa wapika mbege 'mtihani'

Wanyaki wa wapi unaowasema wewe? Wanyaki hawa hawa nnaowajua mimi au? They are very controlling
 
Suala la kujenga kama upo mkoa tofauti na nyumbani anza kujenga nyumba yako kisha unaenda kijijini kwenu unajenga nyumba ya wazee wako ukishamaliza nyumba ya wazee ndio unajenga kwenye kiamba chako hii ni muhimu maana ni nyumba ya kufikizia ukija na familiya yako.
 
Back
Top Bottom