Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Huyu mbona Katoa M7 TU...Mimi Kaka yangu kajenga UKWENI nyumba nzuri kabisaa

Nilienda nikabaki nashangaa tu
Kakaako ni miongoni mwa maajabu 7 ya dunia 🤣🤣🤣!!!
Anyways ana pesa...mi nshashuhudia ndoa ikivunjika sasa ile hali inayojitokeza ni balaa.
 
Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea

Kumbe!! I support the guy. Enyi makabila, simameni.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom