Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Kwani hizo alizipataje aahindwe kupata nyingine? Na je biashara ikiyumba si afadhali hata uwe na kiwanja unakiona and you can be proud of it kwamba nimewekeza hapa
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Aisee una ujasiri juzi tu wamekuibia kwa aina mpya utapeli pale MLIMANI city ukasema wakakuibia 320,000 na mil 2 wakatoa ATM leo umekuja na ushauri kuhusu ujenzi wa nyumba.Hongera sana bado upo fit
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Absolutely bro

a48f13af333f1bc7023a13bca64c7b03.jpg

6aab2bca2e114c3cded7f2fd18f6816d.jpg

34eb0ea4f1228e4ea3d7b4f89f4781f0.jpg

4b92f57eced83c9e59575cab09ab1e8f.jpg

e8b44216635e32da17b2b3742e4f1ee1.jpg
 
Haya mambo ni magumu kuyashauri jamani inategemea na interest za mtu na maisha aliyomo pia, mleta uzi unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine usiwe sahii ila inategemea na mtu, kwani hata historia zetu ziko tofauti, ila nyumba ni muhimu hata kabla sijawa na chochote kile.
Gari ni kiini macho fulani kizuri kwa wajanja kupata au kuongeza mtaji! Mf. Nataka mkopo wa 2M nianze business itakayotumia gari yangu. Faida:
1. Status yangu itakuwa juu,na rahisi kukopesheka tofauti ningetembelea miguu.
2. Dhamana ya 2M, ni gari yangu.
3. Ufanyaji wa biashara pasipo kukodi magari,na wepesi wa kufikia wateja.
4. Status kubwa kwa wateja kuliko kuwafikia kwa miguu.
5. 2M in one year in good business,nanunua kiwanja, najenga,gari bado ipo,na status inapanda zaidi.
Work up men!
 
Nakumbuka Mpoki aliwai kusema nanukuu" Kama unadhani nyumba ni bora kuzidi Gari basi panda nyumba yako tukutane posta" mwisho wa kunukuu
 
Yootee nakubaliana na ww ila nyumba ya kulala sio ASSET hata siku Moja.

Asset as anything that puts money in your pocket. A liability is anything that takes money out of your pocket.
Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.
 
hata gari ni sehemu ya nyenzo muhimu kwa maisha ya binadamu. Tena wakati mwingine kuliko hata nyumba kutegemeana na mahali na mahitaji.
 
Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.
Issue ya mtoa hoja inaeleweka. Hoja ni unaanzaje kujenga, ukiwa stage ipi ya maisha, na je,ni lazima kutumia style inayoonekana ni bora kwa jirani yako? If at all,people had common minds, nobody could think of making an aeroplane! Somebody may decide to buy a car,to simplify his bussiness while other use such opportunity to sweet maids!
 
Yootee nakubaliana na ww ila nyumba ya kulala sio ASSET hata siku Moja.

Asset as anything that puts money in your pocket. A liability is anything that takes money out of your pocket.
Nyumba inapotumika kama dhamana ina leta pesa pia...usikariri vitabu na maisha west kwenye maisha halisi ya kibongo,ukishasoma,pima na ujiridhishe kwenye actual situation.
 
Haya mambo ni magumu kuyashauri jamani inategemea na interest za mtu na maisha aliyomo pia, mleta uzi unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine usiwe sahii ila inategemea na mtu, kwani hata historia zetu ziko tofauti, ila nyumba ni muhimu hata kabla sijawa na chochote kile.
Priorities is what makes us to be as we are.
 
Back
Top Bottom