Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

Haya mambo ni kama kubahatisha, unaweza kuchagua kufanya moja kati ya hayo na ukaona matunda yake, au ikawa kinyume chake.

Wangapi wanaanzisha biashara na zinaanguka?
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Acha kupotosha umma...... Kama unauwezo wa kujenga ni bora ukajenga kwanza sababu
1. Nyumba ni asset ambayo value yake inaongezeka kadiri muda unavyokwenda.

2.Nyumba unaweza kuitumia kama dhamana ili upate pesa ya kuweza kukuza mtaji au kuongeza vyanzo vya kipato chako.

3. Kwa hali ya kichumi ya sasa unapoanzisha chanzo kipya cha kipato ni kama kutake risk, mazingira si mazuri na nirahisi kupoteza kuliko kuongeza, hivyo kama hela yako si endelevu basi ni bora ukawekeza kwenye kitu chenye uhakika ambacho kitaonekana kuliko kucheza pata potea.

4.Ukiwa na nyumba unakuwa na aman, hata Ukitoka kutafuta umepata au hujapata ila unajua jioni unarudi kwako ambapo hakuna atakaekubuguzi.

5.Ukiwa na nyumba inakuongezea confidence, unakuwa unajiamini, unaweza kufanya unachotaka kwenye eneo lako, tofauti ukiwa nyumba ya kupanga lazima uombe ridhaa ya mwenye nyumba, hata hitilafu ya umeme huwez ita fundi bila kuwasiliana na mwenye nyumba .

6. Nyumba ni security ya maisha yako, hata mambo yakiyumba inaweza kukusitiri badae, tofauti na biashara ambayo haitabiriki... Mda wowote inaweza kufa.

Points zipo nyingi.... Ila kwa hizo chache mkuu natumai nimekuonesha kuwa kujenga ni muhimu sana kuliko kuongeza chanzo cha mapato... Hasa kama hela yako si endelevu..
 
we hilo gari la kutembelea huna na kiwanja pia huna!acha kusoma nukuu za magazeti ya udaku
 
Uko sahihi
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Nina kiwanja nina cash 5M, nifanye kitu gani cha kuongeza kipato?
 
Kweli we baba mtakatifu lol
 
Yootee nakubaliana na ww ila nyumba ya kulala sio ASSET hata siku Moja.

Asset as anything that puts money in your pocket. A liability is anything that takes money out of your pocket.
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Nakubaliana na wewe asilimia 100
 
Acha maneno mbofu mbofu wewe kujenga ndio kila kitu ,nyie fanyeni biashara zenu uku ukiwa na stress ya nyumba

Na amini nakwambia ukiwa mfanya biashara alafu ujajenga kuna uwezekano mkubwa usijenge kwani suala la kujenga si mchezo muheshimu sana mtu aliyejenga

Mfanya biashara hawezi haraka haraka akatoa milion anunnue mfuko mifuko ya cement atawaza aizungushe hiyo pesa matokeo yake kujenga inakuwa kazi
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Ni kweli,mimi ni mwadhirika wa hili
 
Back
Top Bottom