Usitafakari, Utaingia Mstuni alhahi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usitafakari, Utaingia Mstuni alhahi!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Elifasi, Nov 4, 2010.

 1. E

  Elifasi Senior Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI PALEPALE: kweli wakikabidhiwa dhamana (udiwani, ubunge, Ukikwete) wananuia kumkomboa Mtanzania wewe (ikimaanisha kuanzia tandahimba, mpaka chamtigiti, mpaka Mahandakini, mpaka liwale, hata Jozani?) au wananuia kujineemesha kama wale wa NGOs waliohamishia ela za wafadhili (ODA) pale mbezi beach, na vijisent kule UK, huku waki-GRAB kila chenye senti kujilimbikizia, nk? USISHEREHEKEE KUCHAKACHULIWA KWA CHADEMA. HATA WEWE CCM UMECHAKACHULIWA. Chama chao hicho. tena sa ivi ni cha FAMILIA (1st family), sio ata cha MAFISADI! SEMBUSE WEWE?! Usitafakari, utaingia mstuni!:peep:
   
 2. k

  kalam Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulishawahi kujiuliza, kama lengo la wanasiasa wa vyama mbalimbali ni kumuinua mwananchi mwenye hali duni....kwanini wao kwa wao wanagombana wakati lengo ni moja? Ukipata jibu utakuwa umefahamu endepo siku CCM ikitoka madarakani ndiyo mwisho wa shida zetu ama ndiyo mwanzo wa Ubepari Mpya....tafakari
   
Loading...