Usitafakari, Utaingia Mstuni alhahi!!!!


E

Elifasi

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
180
Likes
0
Points
0
E

Elifasi

Senior Member
Joined Nov 1, 2010
180 0 0
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI PALEPALE: kweli wakikabidhiwa dhamana (udiwani, ubunge, Ukikwete) wananuia kumkomboa Mtanzania wewe (ikimaanisha kuanzia tandahimba, mpaka chamtigiti, mpaka Mahandakini, mpaka liwale, hata Jozani?) au wananuia kujineemesha kama wale wa NGOs waliohamishia ela za wafadhili (ODA) pale mbezi beach, na vijisent kule UK, huku waki-GRAB kila chenye senti kujilimbikizia, nk? USISHEREHEKEE KUCHAKACHULIWA KWA CHADEMA. HATA WEWE CCM UMECHAKACHULIWA. Chama chao hicho. tena sa ivi ni cha FAMILIA (1st family), sio ata cha MAFISADI! SEMBUSE WEWE?! Usitafakari, utaingia mstuni!:peep:
 

Forum statistics

Threads 1,237,717
Members 475,675
Posts 29,298,378