Usisubiri hadi uzeeke kuielewa kanuni ya Kukaa na Mwanamke kwa akili. “Akili hiyo ni hii” Ukiwa bado kijana ama makamo ninakufungua.

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,461
Sisi wanaume kuambiwa kwamba tuishi na hawa wenzetu kwa akili haina maana kwamba wao wanaakili kuliko mwanamme hapana bali ni uwezo wao wa janja janja kucheza na uhitaji wetu wa kingono.... hapa kumbuka gunduzi nyingi duniani ni mazao ya akili za mwanamme na hili halina ubishi.

Akili inayozungumziwa ni hii

A. Mpumbavu ni mtu asie na akili nae vipaumbele vyake wakati wa uhai wake hapa duniani viko hivi
1.Pesa
2. Wanawake
3.Yeye nafsi yake
4. Mungu

Mtu huyu wanawake wapo juu ya nafsi yake

B Mtu mwenye akili vipaumbele vyake ni hivi
1. Mungu
2.Nafsi yake
3.Pesa
4. Wanawake

C. Pia Mtu huyu asie na akili hajui kwamba mwanamke humtumia mwanamme ili ajinufaishe yeye kwa jina la mapenzi akisahau kwamba Mwanadamu hawezi kupenda.
Mtu mpumbavu husahau kanuni hii muhimu ya “ self-preservation” ambayo ni kanuni ya kike ukiitofautisha na kanuni ya kipumbavu ya wanaume wengi ya kujitoa muhanga “ self sacrifice”


Hii hutokea kwa mwanamme asiye na broad Perspective ya maisha kwamba mambo anayoyahangaikia in 100 years walau hayatamsaidia kitu so yupo radhi ajitoe muhanga hata kuangamiza nafsi yake kwa ajili ya Kum*

Mtu mwerevu hawezi iangamiza nafsi yake kwa ajili ya mtu mwingine awaye yote awe mke, mtoto, ndugu ama mzazi na anapotoa msaada husaidia pale anapoweza tu na siyo vinginevyo,kuna kristo mmoja tu.

D. Hakuna Mwanamke mmoja kati ya wanawake Bilioni Tano ambae eti Mungu amekuumbia...
Unaweza kuwa na Mwanamke yeyote... hapa mwanamme jiangalie usije kujikuta mwanamke amekuwahi ukajikuta unasettle na kucommit kwa mtu mapema kabla hujaamua...


Wanawake ni watu wa show off kwa friends wao na huringishiana na wana vigezo vya juu sana linapokuja swala la mwanamme wa kuwa nae.
Hapa namanisha mwanamme kuwa na vigezo acha kusettle na wanawake wa kawaida


Hujazaliwa kwa ajili ya Mtu yeyote bali kwa ajili ya Mungu kwanza,Wewe pili na Watu wengine tatu...

Wanawake huwadanganya wanaume wanaowadate and usije assume mwanamke hana mbinu... Kila mwanamke anambinu, tena za kivita kuweza kukukeep

Kwa hiyo Mwanamme mwenye akili ni yule ambae anayajua hayo
 
Inaonekana ulianza mapenzi ukubwani tena kipindi cha dijitali na siyo kipindi kile cha barua. Na katika kuanza mapenzi utakuwa ulitanguliza pesa mbele ukapigwa na watoto wa mjini sasa hivi akili ndo inakurudia. Jinsi zote zinahitajiana katika maisha usiwe na mtazamo hasi.
 
Kwahiyo sisi wapenda uroda hatuna akili?

Ujumbe mzuriiii sanaaaa...

Nakumbuka hapo mwanzo kabisa nilikuwa

Mungu kwanza

Mimi wa pili

Kum na Ndugu wa tatu

Ila now sijui nimepatwa nani eti kum na watoto ndio wamekuwa first Mimi nimejitupa namba mbili na Mungu namba tatu nandugu nimewatoa kabisa.

Ee Mungu niongoze
 
Back
Top Bottom