Usiseme hapana sehemu ya ndio"

seseme

Member
Sep 27, 2011
30
2
Ila nakupa ushauri mmoja, mwanaume hasifiwi kwa kuwa na maumbile ya kiume, maana hata mashoga wana maumbile hayo, ila kuna sifa ya ziada kwa mwanaume,kuwa na msimao.
 
wh................wh.................wha.............what?
 
nimekuelewa mkuu ila ungeongeza na hii sio mbaya..............Mwanaume ansifiwa kwa kushughulika ipasavyo kunako *********
 
duh hii haieleweki sijui tuamue kulingana na mwendelezo au
 
msimamo juu ya nini maana naona iko hewani sana

Ye mwenyewe yuko hewani ndo maana amerun away! Alafu bora wewe angalau umeelewa ni msimamo, mi nilikuwa sijaelewa kabisa hilo neno 'msimao' dah! Kumbe amechapia kidogo tu, nashukuru mkuu kwa mwongozo!
 
Back
Top Bottom