Usisaidie masikini, acha wafe

Hayo ni maneno ya Mungu mkuu,siyo hadithi.

Labda hizi zako ndio hadithi.

Sawa,

Sipo hapa kubishana.

Hakuna utakalopata ukimsaidia Masikini.
Sio Duniani wala Kwa huyo Mungu unayemtaja hapa.

Masikini wapo ili waendelee kuumizwa, kuteswa, na kuonewa. Hawapo ili wasaidiwe.

Ukiwasaidia basi jua unapambana na nature, hautabaki salama.

Huamini basi saidia masikini ujionee
 
Tuanze na Taifa letu ambalo ni maskini kwa nini lisijikomboe kuwa tajiri, kwa nini mataifa yaliyokuwa kama sisi mfano China, Philipines, Malasyia n.k yamejikwamua na sisi bado?

Nimeanzia huko ili kukufikirisha mtoa mada katika fikra pana. Maskini anatakiwa kutoka katika umaskini na njia za kumtoa ni kumsomesha, kumpa kazi au msaada, nje ya hapo umaskini utazidi na Taifa litashindwa kwenda mbele

Sikubaliani na ulichokiandika hata kidogo
 
Kama umesoma vizuri utakuwa umenote kuwa Masikini hapaswi kusaidiwa, Ila yampasa ajisaidie mwenyewe.

Mataifa yote yaliyoendelea na tajiri hayakusaidiwa na taifa lolote lile.

Yalipambana yenyewe.

Masikini muache ajisaidie mwenyewe
 
Unaniuliza Mimi tena.

Mtu akishakuwa mgonjwa sio kazi ya Doctor kujua amepata wapi huo ugonjwa.

Ila atasema tuu ugonjwa huo unasababishwa na kitu Fulani.

Laana na baraka vyote vimewekwa na Mungu
Nakuuliza kwakuwa naamin umeandika kitu unachokijua,kimsingi laana haihusiani na uchumi
 
Hakufanya vizuri kwa sababu wewe ulitaka akujaze hela mfukoni kama alivyokuahidi Lisu akiwa rais!
Ndio yeye alikuwa rais ni wajibu wake kutujaza mapesa kwa mujibu wa katiba kwenye 25th ammandments
 
umesema umasikini sio mpango wa Mungu ,, alafu ukaja kusema hyo laana ya umaskini katoa Mungu uoni Bangi uliyovuta inakudhuru

Wewe ndio hujaelewa.

Vyote uvionavyo Duniani vimewekwa na Mungu, Ila vingine sio mpango wake uvitumie.

Kakuwekea baraka na laana.
Mpango wake uchague Baraka.
Sasa ukichagua laana ni wewe tuu na maamuzi yako.
 
Sawa,

Sipo hapa kubishana.

Hakuna utakalopata ukimsaidia Masikini.
Sio Duniani wala Kwa huyo Mungu unayemtaja hapa.

Masikini wapo ili waendelee kuumizwa, kuteswa, na kuonewa. Hawapo ili wasaidiwe.

Ukiwasaidia basi jua unapambana na nature, hautabaki salama.

Huamini basi saidia masikini ujionee
Mkuu ukimkopesha Mungu kwa kusaidia masikini lazima Yeye(Mungu) akulipe,hawezi kukutapeli.
 
Mkuu ukimkopesha Mungu kwa kusaidia masikini lazima Yeye(Mungu) akulipe,hawezi kukutapeli.

Sawa.

Kila mtu atabeba mzigo wake, pengine hii bado hujaijua vyema.
Hiyo ndio Kanuni.

Kila mtu apambane na Hali yake.
Kama aliyemuumba au aliyetuumba ameshindwa kutusaidia unafikiri wewe binadamu utaweza.

Mungu anamaana zake kuiacha Dunia iwe hivi ilivyo.

Hata hivyo sitaki kubishana na mtu hapa.

Kama hujajionea basi omba uzima utanielewa siku moja
 
Back
Top Bottom