Usisahau kumshukuru mungu unapoenda kulala usiku huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usisahau kumshukuru mungu unapoenda kulala usiku huu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 27, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,188
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Before ulikuwa na kiasi lakini umeenda ahospitali hivi karibuni wanasema ni zero kabisa,,,sikujui hunijui lakini mungu ndie anajua hajaya moyo wako..mkeo anakaribia kukukimbia na ndugu wamekucheka sana lakini watakuja kukuletea nepi na gari za watoto wako mwezi kama huu mwakani
  mungu ameona haja ya moyo wako umekuwa ukitoa sana na mungu amesema sasa ni wakati wa ko wa kupokea..naomba uamini mungu na huyo mtot alietakiwa kuzaliwa sasa watazaliwa watoto ..jesus never say bye namaanisha bado loloteunaloomba anakwenda kufanya...remember good ios not enough better is yet to come

  pengine umekuwa na shida ya uzazi nimekuwa nikiombea watu waluokuwa na shida ya uzazi pande zote jana na leo nilikuwa na maombi ya kushukuru nikaonyesha watu zaidi ya sita naamini ukiamini utakuwa ammoja wapo mungu anakwenda kukupa haja ya moyo wako tafadhali jihadhari na dhambi uOVU wowote na wewe kama mkeo amefikiria kutoka nje kwa ajili hiyo mungu anakwenda kumbadilisha in jesus name..akuna ndoa ilioleetwa dunian bila uzao soma mwanzo 1:24 simama na hilo neno utakuwa shuhuda wa haya ninayosema mwezi kama huu mwakani

  mungu awabariki na kuwapa haja za mioyo yenu wote mnaoitaji watoto
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,188
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Pengine ulipo ni asbh tanzania kwetu ni usku kwa imani tunaamini mungu ulie nae ndie aliekuwepo tanzania pia basi ukiwa ni asbh kwako amka shukuru mungu kwa kukusaidia kuamka salama mwambie mungu akusaidie akuonyeshe njia za fedha sisku nzima ya leo na usiache kushukuru pale unaporuudi nyumbanii salama ...
  Kwetu we nzangu naona muda umefika tukalalle sasa tusiache kusali kumshukuru mungu ngoja nikwambie akuna anachopenda mwenyezi mungu kama shukran ndugu zanguni mungu anapokuamsha asbh anaangalia unamshukuruje hata kama amepanga kukuchukua anaamua kuchukua walio msahau kwanza so unaweka ka gep fulani kuendlea kuishi

  basi aijalishi uko wapi simama mshukuru mungu mwambie ahsante kwa kunilinda ahsante kwa kuniepusha na ajali na zaidi ahasante kwa kuniepusha na uove wa shetan na usiku huu nakwenda kulala nakabidhi familia yanagu mikononi mwako bwana ukailinde usiku kucha ukawaamshe asbh wakiwa hai na salama...ninakuja kinyume na nguvu zote za giza mapepo wachawi wanaotumika usiku kutesa watoto wetu na sisi wenyewe ninatangaza mungu unipe mmacho ya riohoni nikapate kuwajua live na kuwa fyeka tumechoka kuonewa na watu tunaocheka nao mchana mungu zamu yetu kuona wabaya wetu mungu ussituache kwa hili bariki watumishi wa mungu waliopo nchini na sehemu mballi mbali bariki fdamilia zao bwana wabariki maskini yatima na wajane wakapate kupata usingizi mzito na mwanaana na asbh waamke salama na kupata haja za mioyo yao bariki kila mwana jf anekutumikia mwisho wa siku tukaonane mbinguni wakishangilia na didiy kupitia mwanao yesu kristo tunaomba

  amen

  gudnty br n sis
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ahsante sana kwa kutukumbusha ubarikiwe
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,188
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Unajua sio tu kujadili mapenzi ya wapenzi wetu lazima tujue umuhjimu wa mapenzi yetu na mungu ndio maana mahusiano mengi yanaishia kivikana pete ...so ni wakati wako kujiuliza january mpaka leo july,,umefunga mara ngapi umekesha mara ngapi alafu unamwambia m ungu atunze ndoa yako embu nieleze kwa nini mumeo wasikunyanganye kama aunahindwa kuwa karibu na mungu kwenye maombi ya kufunga na kukesha...mungu akupe rooho ya kukesha na kufunga akuna raha kama maombi ya kufunga na ukipata muda kesha kwa ajili ya mungu jiulize kwa nini auko icu wewe ni nani umempa ama kumhonga mungu nini??natumaini utaelewa nini namaanisha
  kuwa karibu namungu tupunguze kuwapa laana mahakimu kuvunja ndoa za watu
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,188
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Pengine kuna watu wanakuwa hawana hamu ya mapenzi wakati wakioana walikuwa motomoto
  na pengine kuna watu wanwatokea usiku wanafanya nao mapenzi wanamaliza haja zao lakini
  kila wakijisogeza kwa wake zao hamu inaisha na same to wama wakijisogeza na waume zao hamu inaisha

  kuna roho za spiritual husband na wife zinasumbua familia nyingi sana kama yanakutokea haya usikae kimya
  mwambie mwenzio hata mchungaji wa karibuu ulienae angalia wa aina gan kuna wengine sikuhizi wanasema njoo
  ofisini saa moja akuombee kuna niniusiku mke wamtu.....akikisha unajitoa na hizi roho huwa zinacheza sana
  sanaa na ukoo usije ambukiza mwanao akaachwa ama kuachika sababu ya wewe kutokuwa muangalifu kujivua gamba
  la kuzini usiku watu usiowaona..kwenye maoambi akikisha unamwomba mungu akuonyeshe anaekuja ahivyo ni nani
  kuna mabinti umeachana nao wanakucheza ukiwa kwenye ndoaa hapa naongelea wana ndoa maana siamini tendo la ndoa kabla ya ndoa...so ,muwe makini sana akikasha unasali na kufunga vinginevyo utabaki kuzini na mapepo mpaka mnagaiana talaka pale mahakamani

  mungu akakufungue in jesus name
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,277
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa somo zuri. Nakubaliana na wewe kuwa kuna mashetani yanawinda wanandoa wasiomjua Mungu. Na Mashetani mengine ni watu tunaokutana njiani na maofisini. Maombi ni muhimu kwani hatuwezi kuwaweka kufuli wenza wetu.


   
Loading...