Usirudie makosa, umesamehewa dhambi zako nenda kwa amani...

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,167
402
Ikiwa Umechukizwa Na Maovu Yanayotendeka Nchin,Sali Sala Hii, Ili MUNGU, 1AKUSAMEHE 2AANGAMIZE MAFISADI 3AKUSHUSHIE NEEMA NA BARAKA ZAKE.

Sala Ya Toba:
Ee Mungu Wng, Naja Mbele Zako, Mimi Mwenye Dhambi,Natubu Dhambi Yangu, Nilichagua Chama Kwa Kuhongwa Kanga Na Tisheti, Sasa Kimenigeuka, Kimefisadi Nchi Kila Mahala,kila Nifanyalo Kujiletea Kipato Nakutana Na Vipingamizi, umachinga Nimenyang'anywa Bidhaa Na Mgambo Wakazigawana, Mama Ntilie Nako Sikusalimika Pilau Langu Mgambo Wakala, bodaboda Nikapigwa Faini Laki Kwa Kuingia Mjini, mtoto Wangu Nyasiwema Nyakanga Amekosa Mkopo Wa Chuo, Mbunge Wangu Mwanae Anamkopo 100%. Nikarudi Kijijini Nyarugusu, nimenunua Mbuzi Jike Na Dume Ili Nianze Ufugaji Mwanangu Nyasiwema Apate Mtaji, Juzi Mgambo Wa Halmashauri Wamekuja Wakabeba Mbuzi Wote 2, Kisa Mchango Wa Maabara Sijalipa! Wao Na Escrow Yao Hawajawahi Kuchangia. Nawausia Wenzangu,msirudie Makosa,msichague Kiongozi Kwa Kuhongwa Pesa,kanga,tisheti Au Pilau Lao. Pilau Lao Kuleni Na Nguo Zao Chukueni Lakini Msiwapigie Kura.

AMINA.
 
Umewasilisha wazo zito kwa njia nzuri sana hongera!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom