Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,446
Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri. au ni bora ununue maziwa unywe. ni bora ununue juice unywe. airtel wamekuwa wahuni wezi na watu wa hovyo. kifurushi chao kwenye simu hakifungui hata google. kita search kwa muda mrefu sana na kikija kukubali kitakwambia page not found. kimekuwa cha hovyo sana.

huwezi kudownload au ku update.kiuhalisia wamekuwa wezi na wizi wao naona kama umehalalishwa maana wanaendelea kutuibia huku nasi tunangaalia. kwa sasa naona mtandano ambayo speed yake si haba umekuwa ni tigo mimi ndo hunisaidia. NIMEJARIBU KUTUMIA AIRTEL NIKIWA POSTA, NIKIWA MWENGE,NIKIWA KIJITONYAMA,NIKIWA TABATA KOTE ninafail sana. kila wakati mtandao hauwezi kufungua JF,hauwezi ku upload au hata kufungua FB ,hauwezi hata kutafuta kitu Google.

najiuliza nini tatizo? maana before nlidhan ni simu nimenunua simu nyingine bado hali ni ileile. hizi pesa zangu walizochukua ntarudishiwa vipi au nijirudishie vipi?
 
Pole, umenichekesha, Nadhani hawa wahindi wapo kufanya wizi, they are not serious investor. Ni vibaka tu wanatoa promotion za kutapeli watu.
Vodacom are also not that much good especially if you are upcountry. TTCL are good their problem is 'limited coverage'. Tigo are good. Smile are also good but overshadowed by limitation of coverage and higher tarrifs
 
Daah pole kwa usumbufu ulioupata ila jua hii ni organization b4 huja release kwa public ilibidi uone surervisor whose dealing with kwa tulio mikoani airtel ipo pouwa sana do investivation to other users am raykidd
 
Pole mkuu,mi mwnyw kuna cku niliunga 1gb..kilichonikuta stamani tena,waovyoo wa kutupa,lakini mbn zamani walikuwa safi sana inakuwaje ckuiz_?!
 
Pole, umenichekesha, Nadhani hawa wahindi wapo kufanya wizi, they are not serious investor. Ni vibaka tu wanatoa promotion za kutapeli watu.
Vodacom are also not that much good especially if you are upcountry. TTCL are good their problem is 'limited coverage'. Tigo are good. Smile are also good but overshadowed by limitation of coverage and higher tarrifs

Hivi ttcl wana cha chuo bei na bundle zake imekaaje sory kama wajua?
 
Mimi natumia airtel kwa ajili ya kupiga simu kifurushi cha elfu kumi mwezi mzima unlimited, kwa data natumia halotel full stop
 
Daah pole kwa usumbufu ulioupata ila jua hii ni organization b4 huja release kwa public ilibidi uone surervisor whose dealing with kwa tulio mikoani airtel ipo pouwa sana do investivation to other users am raykidd
Mimi ni mwendo wa airtel tu kwenye virurushi vya Internet, Tigo natumia kwa ajili ya vifurushi vya muda wa maongezi.
 
Hahaha
Airtel ni jipu nilijiunga 10GBs nikatumia 49Kbs daah
Bora nikomae na voda yangu japo ni ghali
 
inamaana hamna hata kampuni moja so zote zinashindwa ku take advantage mapungufu ya washindani zao na kuboresa huduma ili wapate wateja wengi?
 
Kweli hata me napendaga kujiunga but majuzi ilikuwa kama Niko of fair hata picha whatsapp haifungui nikajua ni simu yangu narestart tuuu no changes mpaka bundle ya wiki imeisha bundle nzima imerudi kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah pole kwa usumbufu ulioupata ila jua hii ni organization b4 huja release kwa public ilibidi uone surervisor whose dealing with kwa tulio mikoani airtel ipo pouwa sana do investivation to other users am raykidd
yaani UPO SAWA KABISA MKUU
mimi nipo Dodoma natumia Airtel mubashara kabisa na hawawezi nidanganya
 
Tangu Magufuli awe Rais na ndipo airtel ilipoanza kuwa slow papo hapo, niliamua kuihamishia laini kwenye nokia torch kwa ajili ya kupiga tu basi maana hata meseji wanazinguaga sometimes unatuma txt haifiki inahang tu hewani...kwenye data TTCL wako vizuri sana and I've noticed wana coverage kubwa ya 4G hapa Dar na inaspeed kubwa sana. Mimi huwa nadownload HD movies na series (1080p) au 4K videos kwa TTCL kwa muda mfupi sana iko vizuri sana. Airtel business ilianza kuwashinda maana tangu waliposikia hapa "hapa kazi tu" wao walienda kulala mpaka leo, so far Airtel is the poorest network ever
 
Back
Top Bottom