Usiri umetawala rasimu ya katiba mpya, waznz kaeni tayari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiri umetawala rasimu ya katiba mpya, waznz kaeni tayari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, May 20, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Baada ya Bunge kuukataa mswada/rasimu ya katiba mpya, serikali ya JK inafanya chini chini kuhakikisha kuwa rasimu hiyo ambayo wanadai inatengenezwa au kufanyiwa marekebisho mapya, kuwa inapita na hatimaye inakuwa katiba mpya 2014; kama alivyoahidi mwenyewe JK.

  Mfano, tayari cabinet yake imekutana mara kadhaa kujadili rasimu hiyo na vipi kuwarubuni wabunge waipitishe. Tayari, rasimu imefanyiwa marekebisho ya uwongo na kweli ili iweze kuwasilishwa bungeni kwa kupata ridhaa.
  - tayari ujumbe kutoka serikali ya Tanganyika umekuja Zanzibar kuonana na chief justice, AG, na waziri wa sheria na katiba, na wasaidizi wao.

  Zanzibar nayo imetekwa kimawazo, na inaonekana kukubali hoja hiyo. Hatari….!
  - tayari ofisi ya bunge wameweka website, na wanadai kuwa sasa wananchi wanaweza kutoa maoni yao kupitia mtandao.

  Hapo ndio tutamalizwa. Je, ni watu wangapi Wazanzibari, au Watanzania wana-access ya website, even kama wanajua kuutumia? Hicho ndio kitendawili kilichotuelekea mbele yetu.

  - tayari zimejionyesha hila, mbinu na strategy tofauti za kimya kimya, kuhusu suala hili. Mfano, wasaidizi wa JK wanakuja na kurudi Zanzibar, kushawishi hapa na pale ili kuupitisha mswada huu.

  Tukumbuke kuwa ‘mfalme’ JK ameshatamka kuwa Katiba mpya ni 2014, hiyo kwao wao ni ‘kun fayakun’ — hakuna kurudi nyuma. Ushindi lazima, na wanavyotaka wao, ndio iwe hivyo hivyo.

  Mimi nakuamsheni, kama Zanzibar italala, na tutayachukulia mambo kishangazi na mjomba. sawa. tunaumia.

  Na tunaikosa nchi yetu under JK. Huyu ni kama Obama. Obama ndiye atamaliza waislamu. JK atamaliza Zanzibar.

  Lakini, wao approach yao, wanacheka na kula na makundi hayo ama ya waislamu au wazanzibari. Kama nilivyosema hapo awali, tutaona visa, vitimbi vingi vinakuja kabla ya 2014 na kabla ya 2015. Leo sina muda sana wa kufafanua suala hili, lakini michango yenu ni muhimu.

  Na naomba TUAMKE jamani. Celina Kombani, asituhadae. yeye ana akili kiasi gani kuliko sisi Wazanzibari?
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwanza katika Uandishi wako umeonyesha wazi kuwa unasumbuliwa na udini na unasahau kuwa JK pia yuko dini hiyo hiyo ambayo wewe unaijali kuliko yeye. Nakushauri ukapumzike kwanza matatizo yako ya udini yakiisha then ulete hoja yako Jamvini
   
 3. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Nimeitoa katika Mtandao wa mzalendo,mimi sio muandishi wa mada hii.
   
Loading...