Usipoteze pesa zako kwenye lotion, bora scrab!

  • Thread starter AFYA ZAIDI CONSULTANTS
  • Start date
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,326
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,326 2,000
Uwiano unakuwaje?
Huwa nakadiria tuu heheh bongo vipimo sio accurate sn
Bt anyways

Vijiko 5 vya sukari sio vya chai vidogo
Limao kubwa nusu
Asali vijiko viwili

Tia kwny kibakuli/kikombe changanya ingia kuoga mda huo ili sukari isiyeyuke
Lengo itoshe kufanya full body scrub
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
40,937
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
40,937 2,000
Huwa nakadiria tuu heheh bongo vipimo sio accurate sn
Bt anyways

Vijiko 5 vya sukari sio vya chai vidogo
Limao kubwa nusu
Asali vijiko viwili

Tia kwny kibakuli/kikombe changanya ingia kuoga mda huo ili sukari isiyeyuke
Lengo itoshe kufanya full body scrub
Shukrani bibie
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,703
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,703 2,000
Huwa nakadiria tuu heheh bongo vipimo sio accurate sn
Bt anyways

Vijiko 5 vya sukari sio vya chai vidogo
Limao kubwa nusu
Asali vijiko viwili

Tia kwny kibakuli/kikombe changanya ingia kuoga mda huo ili sukari isiyeyuke
Lengo itoshe kufanya full body scrub
Vijiko vitano vinatoshaje mwili wote??
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,326
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,326 2,000
Vijiko vitano vinatoshaje mwili wote??
Vidogo ?.hahah...inategema na uogaji wako
Waweza ongeza kuwa 7/8 hata 10

Nishazoea ts like a quick routine to me..sirembi
Huwa najimwagia maji to start hivi then ndo naanza scrub mwili ukiwa moist kidogo
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,273
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,273 2,000
Vipele nikinyoa ndevu

Sent using Jamii Forums mobile app
nyoa ndevu kila after two weeks...week end ya kwanza ukienda saloon Chonga ndevu (usinyoe)...ile weekend inayofata ukienda ndio Nyoa sasa (vipele utawaona navyo watu tu)...Malizia kwa kuijali ngozi yako kama alivyoshauri mkuu hapo juu.
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,729
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,729 2,000
Asee mi chunusi zinansumbua....unaweza nishauri nifanye nini mkuu
mkuu zaid ya kuangalia lishe yako hakuna kingine chunusi ni mzurugiko wa homoni, dawa za kupaka utapata matokeo kwa nje but soon tatizo linarudi pale pale maana chununusi zinakuwa ndani
 
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
13,583
Points
2,000
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
13,583 2,000
Tumia natural scrub.,haina gharama
Nina ngozi ya mafuta pia so huwa natumia sukari ya brown,ndimu/limao na asali mara moja kwa wiki tu
Nascrub uso polepole then mwili mzima..naoga bila sabuni siku ya scrub..napaka coconut oil mwili mzima af nalalaaa

matokeo nayapenda ngozi inazidi kuwa nzuri
then lotion huwa unatumia ipi na tona je?
maana nahis tuna ngoz sawa
 

Forum statistics

Threads 1,335,408
Members 512,320
Posts 32,504,835
Top