Usipoteze pesa zako kwenye lotion, bora scrab!

Joined
Mar 6, 2017
Messages
51
Points
150
Joined Mar 6, 2017
51 150
“Una losheni gani nzuri itakayonifanya niwe softiiii??? Yaani nataka ning’ae nipendeze, ila isinichubue” Ndo swali ambalo muuza vipodozi anakutana nalo mara kwa mara, naye bila ajizi anatafuta korokoro lolote ambalo litamsaidia dada huyu apate matokeo anayoyataka. Akipata Carotone haya, Top Lemon sawa, Perfect haya, na kadhalika na kadhalika. Kuja kustuka Tsh 9,000/= ya bidada imekwenda then anaanza kupata madhara kutokana na losheni au krimu aliyopewa.

(Ila tafadhali, sisemi kwamba usitumie losheni, la hasha! Ninachokisema hapa ni kwamba kama unataka kupendezesha zaidi ngozi yako basi ni bora ukawa una scrub then unaendelea na losheni yako)

Kwa kusema ukweli losheni haina kazi kubwa sana katika kupendezesha ngozi zaidi ya kusaidia kuongeza unyevunyevu kwenye ngozi na kuifanya ngozi isikauke na kunyauka. Baada ya hapo kama uso wako ni wa mbuzi utabaki kuwa wa mbuzi, na kama ni wa nyau utabaki kuwa wa nyau hivyo hivyo. Usipoteze pesa zako nyingi kununua losheni kwa bei kubwa ukiwa na matarajio kwamba losheni za bei kubwa ndo zina matokeo mazuri zaidi ya kulainisha na kung’arisha ngozi. Tofauti kubwa ya losheni ni harufu, rangi ya kopo, unavyojisikia ukiipaka, uzito nk; ila kwenye kupendezesha ngozi tofauti sio kubwa kiviile - labda ichanganywe na kemikali zingine kama vile steroids (Mfano Betamethasone, Clobetasol, Beclomethasone, Dexamethasone na kadhalika; kitu ambacho ni kibaya kwa afya ya ngozi yako). Kwa hiyo losheni ya Tsh 7,000/= inaweza kukupa matokeo sawa sawa na losheni ya Tsh 50,000/=!

UKWELI
1. Ni kweli losheni zinasaidia kulainisha ngozi, ila ni polepole sana
2. Ni kweli losheni zilizotengenezwa vizuri zinagharimu zaidi, ila sio garantii kwamba ndizo bora zaidi na zitakupa matokeo mazuri zaidi

KAZI ZA LOSHENI
Kulingana na kemikali zinazowekwa ndani ya losheni ni dhahiri kwamba zinaweza kukusaidia mambo mengi kama vile:
1. Kuongeza unyevu unyevu kwenye ngozi yako na kuisaidia isikauke na kuwa kavu na kukosa nuru
2. Kuzuia maji yasipotee kutoka kwenye ngozi yako na kuisaidia ibaki na unyevu unyevu wake, yaani isiwe kavu; isikose nuru
3. Kuifanya ngozi yako inukie vizuri

KAZI ZA SCRUB
Scrub ni kama msasa. Scrub ni kipodozi chenye kemikali ambazo husaidia kuondoa kiasi cha ngozi ya juu kabisa na kuacha ngozi yenye nuru na muonekano mzuri. Ile sehemu ya nje kabisa ya ngozi ya nje ndio hukaa seli za ngozi zilizokufa, vumbi, jasho, wadudu na kila aina ya uchafu hivyo kuifanya ngozi ifubae na kukosa nuru. Ukifanya scrub utaitoa sehemu hii ya ngozi na kubaki na sehemu ya ngozi ambayo ina nuru na mng’ao kidogo. Kadiri unavyofanya scrub ndivyo unavyoongeza nuru na mng’ao kwenye ngozi yako. Ndivyo unavyobaki na ngozi yenye muonekano mzuri na inayopumua vizuri. Ukiacha scrub zile seli zilizokufa, vumbi, jasho, wadudu na uchafu mwingine huanza kujirundika tena na kupoteza mng’ao na nuru – taratiiibu uzee unaanza kupiga hodi tena.

LOSHENI AU SCRUB?
Umeona tofauti kati ya losheni na scrub? Yaani losheni ni kama maji na scrub ni kama msasa!
Kwa hiyo ukitaka ngozi yako iwe na nuru na mng’ao ni bora uwe una scrub mara moja moja kuliko kupoteza pesa zako nyingi kwenye losheni na kusubiria big results now.

KUWA MAKINI SANA NA SCRUB
Richa ya kukupa matokeo mazuri na kwa haraka zaidi kuliko losheni bado una changamoto mbili tatu ambazo inabidi uwe makini nazo:
1. Scrub zinatofautina kulingana na ngozi iliyolengwa. Kuna scrub kwa ajili ya ngozi kavu, ngozi ya kawaida na nyingine kwa ajili ya ngozi ya mafuta. Kama ngozi yako ni kavu tumia scrub kwa ajili ya ngozi kavu, kama ngozi yako ni ya kawaida tumia scrub kwa ajili ya ngozi ya kawaida na kama ngozi yako ni ya mafuta tumia scrub kwa ajili ya ngozi ya mafuta. Ukitumia scrub ya tofauti unaweza kuwa mkavu zaidi au kutokwa na vipele na matatizo mengine
2. Kufanya scrub kunaondoa kajisehemu ka ngozi yako ya nje kabisa, hivyo ukiwa unafanya scrub mara kwa mara utaanza kuumiza ngozi yako. Fanya scrub mara moja hadi mbili tu kwa wiki. Pia baada ya scrub unaweza kupaka losheni au sun screen inayoendana na ngozi yako na hali ya hewa
3. Kuna Scrub feki
Kama kawaida wachina fursa hii hawajaiacha ipite, na wao wamo. Hakikisha unanunua scrub original ili upate matokeo mazuri na uepuke madhara ya feki. Nunua kutoka maduka yenye heshima zake na ambao hawaokotiokoti vipodozi kutoka nje ya supply chain ya mtengenezaji halisi wa scrub original. Mfano wa sehemu nzuri za kununua scrub ni Supermarkets, hawa ni ngumu sana kuwa na scrub feki.

Ahsante ..........

Kama unasumbuliwa na tatizo la tofauti la ngozi kwa mfano chunusi, michirizi, madoadoa, mafuta mengi usoni, mba, kutokwa na jasho jingi, harufu mbaya ya jasho na kadhalika usipoteze pesa zako kwenye losheni za kawaida pia. Badala yake tumia vipodozi au dawa ambazo ni nzuri na mahususi kwa ajili ya matatizo hayo. Pia kumbuka kwamba ngozi tofauti huhitaji vitu tofauti, kwa hiyo usiishi kwa copy and paste. Kama unasumbuliwa na tatizo la ngozi, nywele au vipodozi na unahitaji kuondokana nalo basi tuwasiliane kwa ajili ya kuangalia kitu gani kinakufaa zaidi kulingana na tatizo lako na mazingira yako – 0719326693 / 0743422883

Uwe na siku njema!
 
LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
7,499
Points
2,000

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
7,499 2,000
Asee mi chunusi zinansumbua....unaweza nishauri nifanye nini mkuu
Tumia natural scrub.,haina gharama
Nina ngozi ya mafuta pia so huwa natumia sukari ya brown,ndimu/limao na asali mara moja kwa wiki tu
Nascrub uso polepole then mwili mzima..naoga bila sabuni siku ya scrub..napaka coconut oil mwili mzima af nalalaaa

matokeo nayapenda ngozi inazidi kuwa nzuri
 
Aiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
842
Points
1,000

Aiba

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
842 1,000

Mm nangozi ya mafuta nikipata ata mafuta usoni natoka sana vipele, miguuni mafuta nkipaka mda kidogo tu miguu inapauka au poda nikapa usoni hainikai vizuri nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
10,769
Points
2,000

Hawachi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
10,769 2,000

Asante mkuu
 
devor

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Messages
727
Points
1,000

devor

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2017
727 1,000
Tumia natural scrub.,haina gharama
Nina ngozi ya mafuta pia so huwa natumia sukari ya brown,ndimu/limao na asali mara moja kwa wiki tu
Nascrub uso polepole then mwili mzima..naoga bila sabuni siku ya scrub..napaka coconut oil mwili mzima af nalalaaa

matokeo nayapenda ngozi inazidi kuwa nzuri
Naitengenezaje hii
 
kiwembe 023

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
803
Points
1,000

kiwembe 023

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
803 1,000
Tumia natural scrub.,haina gharama
Nina ngozi ya mafuta pia so huwa natumia sukari ya brown,ndimu/limao na asali mara moja kwa wiki tu
Nascrub uso polepole then mwili mzima..naoga bila sabuni siku ya scrub..napaka coconut oil mwili mzima af nalalaaa

matokeo nayapenda ngozi inazidi kuwa nzuri
Uwiano unakuwaje?
 
Forum statistics

Threads 1,390,644
Members 528,220
Posts 34,057,392
Top