Usipoteze muda na ujinga wa diet, hakuna chakula kibaya ukiwa mstaarabu

Kweli miili inatofautiana.Mi nikila haswa nanenepa kweli.Nna miezi mitatu tangu nijifungue ninakula haswa sasa nna kilo 72 kutoka 55 nikiwa sina mimba.Nasubiri mtoto afikishe miezi sita nipunguze Kula.
Nasikia ukizaa mwili unafumuka..
Nasubiri nione
 
Nasikia ukizaa mwili unafumuka..
Nasubiri nione
pale kinachowanenepesha wamaa ovyo ni chakula wanachokula..

mama akijifungua huwa anakula sanana tumbo linakuwa limepanuka hvyo mpaka taarifa ziende kwenye ubongo kwaba ameshiba daah baadae sana.

wamama hujisikia kula mara kwa mara hivyo waatakiwa wale wastani na vyakula ambavyo vyenye vitamini nyingiiiiiii

 
Diet now it's my life style.

Mtu hanielezi chochote kuhusu kula wanga. Nakula Mara chache sana, jumamosi nakula makande na jumapili hula pilau ama wali. Siku nyingine Nala protein na matunda na mboga majani.

Naupenda mwili wangu Sasa, nyama uzembe zimeisha, ukishika kiuno kinashikika.
Mmmmh udenda wanitoka iwish nione hicho kiuono
 
Kweli miili inatofautiana.Mi nikila haswa nanenepa kweli.Nna miezi mitatu tangu nijifungue ninakula haswa sasa nna kilo 72 kutoka 55 nikiwa sina mimba.Nasubiri mtoto afikishe miezi sita nipunguze Kula.
Yani mda wa kunyonyesha hamna namna
Japo isiwe too much sana

Kula kiafya zaidi not junk
 
Yani mda wa kunyonyesha hamna namna
Japo isiwe too much sana

Kula kiafya zaidi not junk
yes apige matunda sanaaa.na vyakula vya asili kama ndizi maparachichi, apate mikuku..

akitoka hapo anakuwa na shepu kaa dada saniichoka
 
Usihangaike na mambo ya kufanya diet ili uwe mwembamba ama upungue huko ni kujihangaisha bure Ndugu.

Hakikisha njia utakayotumia kukupunguzia mwili iwe ndo system yako ya maisha, vinginevyo utajikuta unapungua ukiwa ndani ya system na ukirudi kwenye maisha halisi unarudia ubonge upyaaaaaaa.

Mtu anashindia juisi ya karoti au juisi ya karanga ili apungue, anapungua kweli ila akirudi kwenye system yake ya ugali mchana wali jioni asubuhi supu ya nyama na chai ya moto(chai ya nini na umeagiza supu) basi hapo ataanza kuongezeka tena.

Basi tumia njia ambayo itakuwa ni system yako ya maisha mfano kufanya mazoezi mara 3 kwa wiki unaweza ukaifanya your daily routine na ukaimudu na kuifurahia.

Kiukweli hakuna chakula kibaya hata kidogo, baada ya kupitia makala mbali mbali za lishe kuna moja ni maarufu sana na kitabu kipo ameeleza mengi sana ila kuna kipengele amesisitiza ya kuwa

"KULA UTAKAPOJISIKIA NJAA VINGINEVYO SAFARI YAKO HAITAFANIKIWA"
Yaani imagine unatumia lishe ya mtu amekupangia na vyakula ambavyo amesema vitakufanya upungue alafu hapohapo anakuambia usile kwa mazoea, kula ukihis njaa, kama hujahisi njaa siku nzima na usile mana ukikeuka mwiko huo hutapungua. sasa kwa waeleea watajua ya kwamba kupungua mwili kuna njia mbili kuu..

1.USILE MPAKA UHISI NJAA NA UKILA KULA KWA WASTANI SIO MPAK TUMBO UNAONA KABISA LINA KITU KIZITO NDANI.
Hii inasaidia sana kuepusha mlundikano wa chakula mwilini na kumeng'enywakwa ufanisi.
Wewe kula hata chipsi na vyakula vyote wanavyokataza team lishe il tu hakikisha ule unapohisi njaa, sio asuhubi umekula, mchana umekula hata kama huhisi njaa na usiku piaa, aaah hatari.

2.Mazoezi muhimu.
mazoezi nikwa ajili ya kuweka mwili sawa tu.na inatakiwa ukiwa unafanya mazoezi badi uwe unauwezo wa kujidhibiti kiwago cha kula. Kwa sababu unapofanya mazoezi mwili huitaji chakul zaidi na kukufanya ule sana, ukiifuatisha hyo hali utajikuta unafanya mazoezi na unanenepa ovyo tu.

Mazoezi na kula wastani utaenjoy.

Achana na diet ni kupoteza muda.
anza siku yako kwa kula japo ndizi moja mbili na maji yako safi then unaangalia njaa inakuja vipi.
Sio umeamka hata hamu ya kula huna unaenda kwenye masupu,sio poa.

HATA KAMA HAUFANYI MAZOEZI HII YA KULA UNAPOSIKIA NJAA INA UWEZO MKUBWA WA WEWE KUMAINTAIN MWILI WAKO NA KUTONENEPA HOVYO.
duh ii kali
 
Back
Top Bottom