thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,108
- 1,158
una zingua.. hawa sio branchSio kwa sms hizi jamanView attachment 1072125
Sent using Jamii Forums mobile app
una zingua.. hawa sio branchSio kwa sms hizi jamanView attachment 1072125
Jamaa wananitumia sms kama hizi ila wananidai 11,880 tuView attachment 1072122
😂😂😂😂vyuma is very very kazaring napigwa mikwara na m-pawa hata sielewi nitawalipaje.
Kule Facebook naona kila aliyerejesha mkopo kanyimwa mkopo mpya sijui kuna nini?Mi wananidai na nina mpango wa kuwalipa ila nimekuwa nimelazwa hospital wiki mbili na wanaendelea kunitisha na hawaelewi ,sijui nife ili wafurahi na tuone watalipwaje! Hata pole hakuna wakati mm ni mteja wao wa muda mrefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo wananidai laki moja ina miaka karibu miwili Sasa.Ila kwa Airtel ukiwa na deni hiyo laini isipite hela yeyoteWewe upo timamu kweli??? Unataka kuwalipa tala??? Hiiiiiiii yaani mkopo ambao nalipa ni wa bank tu ....labda na mtu binafsi nikimkopa nitamlipa ila sio tala ...branch ...airtel timiza Mara tigo nivushe hiii siwalipi ng'o hawa viumbe .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawataki ndio nafuu yako achana nao mkuu kopa branch uendelee na misheNtaendanao kwa kidogo kidogo maana nliwaomba wanielekeze ofis zao hawataki
Sent using Jamii Forums mobile app
Dizaini ya mtoa mada ukimkopesha na Urafiki utaisha na hawez rudisha.katika nchi isiyo jua kukopesha tanzania itakuwa inaongoza.nimejifunza mengi kwa wenzetu sijui tulikosea wapi.
kama unaweza kukopa unajiwekea mda na hata ukishindwa unaweza kuomba mda na kuendelea na kulipa hata kukopa.
Hapa ndiyo mtu unajua jeuri ya mkopaji anayekopa bila dhamana! Wakati wa kukopa anakuwa na ahadi na lugha nzuriiiii lakini wakati wa kurudisha hakosi sababu. Kweli kukopa ni harusi lakini kulipa ni matanga. Mimi nadhani unapokopa kuna masharti ya mkopo ambayo unayakubali. Haijalishi umeugua au umepigwa na radi na meno yote yakang'oka, ni lazima uyafuate. Mengine ni kiswahili kisicho na na maana. Ulipokuwa unakopa ulidhani biashara ni faida tu? Anyway, hiyo kampuni nayo ni mbumbumbu wacha wapigwe! Tangu lini ukamkopesha mtu bila dhamana kwenye haya mazingira na utamaduni wetu wa kiafrika akakosa sababu wakati wa kulipa?Kama nilivyoelekeza hapo juu, nimekuwa mfanyabiashara mdogo muda mwaka sasa tangia nijiunge na mikopo ya tala na kufikia mkopo wa laki 3 na nusu nikachukua biashara nikapeleka Morogoro.
Nikakuta soko sio zuri hivyo mtaji ukayumba.
Nlivyowaelekeza TALA wakasema hawanielewi tulishakubaliana hiyo pesa irudi kwa muda wa mwezi. Mpaka sasa nimezidisha siku 15 wameongeza riba asilimia 10.
Najuta mpaka sasa nimeomba wanifahamishe ofisi zao zilipo labda niende nikakutane na mkuu wao nimueleze yaliyonikuta wanasema niwasiliane kupitia facebook au sms za kawaida.
Hivyo naomba kama kuna yeyote anajua ofisi zao zilipo anielekeze niwafuate.
Sikuhizi airtel hawakati juukwajuu tunapitisha pesa vizuri na inakaa wamesema tulipe taratibu vyuma vimekazaTigo wananidai laki moja ina miaka karibu miwili Sasa.Ila kwa Airtel ukiwa na deni hiyo laini isipite hela yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kubadilisha avatar hahaaaa...naona unaenda sawa na @LucklyneSikuhizi airtel hawakati juukwajuu tunapitisha pesa vizuri na inakaa wamesema tulipe taratibu vyuma vimekaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata mm nilikopa 100000 na imepita miezi 4 hadi leo sijalipa na hakuna kilichotokea.Je mtu akidaiwa, mfano Tsh. 100,000/- na asipolipa inakuwaje?
Usiende wewe kausha tu.Kama nilivyoelekeza hapo juu, nimekuwa mfanyabiashara mdogo muda mwaka sasa tangia nijiunge na mikopo ya tala na kufikia mkopo wa laki 3 na nusu nikachukua biashara nikapeleka Morogoro.
Nikakuta soko sio zuri hivyo mtaji ukayumba.
Nlivyowaelekeza TALA wakasema hawanielewi tulishakubaliana hiyo pesa irudi kwa muda wa mwezi. Mpaka sasa nimezidisha siku 15 wameongeza riba asilimia 10.
Najuta mpaka sasa nimeomba wanifahamishe ofisi zao zilipo labda niende nikakutane na mkuu wao nimueleze yaliyonikuta wanasema niwasiliane kupitia facebook au sms za kawaida.
Hivyo naomba kama kuna yeyote anajua ofisi zao zilipo anielekeze niwafuate.
Huwa wanapiga simu kwa namba za voda au safari comSjajua harafu chaajabu hawana namba za simu wao wapo fb, instagram na sms za kawaida kwenda namba 1556
Sent using Jamii Forums mobile app
😴😴😴😴😴😴