Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Acha uoga we watu wanadaiwa benk bilion na wanaishi kwa Amanda tu Hakuna lolote LA kuhofu unaogopa SMS sasa nakuambia badili lain Fanya mishe zako acha ujinga kuna watu wanadaiwa zaid ya mwaka ss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alama za mtu mnafiki ni tatu
1. Akiongea husema uongo
2. Akiahidi hatekelezi na
3. Akiaaminiwa hufanya hiyana.

Mleta mada kitendo unachofanya kinaangukia katika kipengele namba 1 na namba 2.
Aidha kudai au/na kutoa riba ni dhambi mbele ya Mungu.
 
Back
Top Bottom