Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Mimi Branch ndo wananitesa, sms za vitisho hatariiii fire

Nataka nimuuzie Pierre Liquid kesi watasikia tu

"Aaaah Branch, Branch ikidhurumiwa itabaki kuwa juu, juu mawinguni, itabaki kileleni, chiiiiiiiii"View attachment 1065947
Hahahhaha kumbe ndio inavyokuaga vitisho hivi

Mm nikikwama kiukweli tala na tigo nivushe wananisaidia sana na huwa nawalipa kwa wakati

Mkuu dawa ya deni kulipa jitahidi ukipata uwape
 
wasikutishe! mi nlikopa buku ishirini wakanipa vitisho vyao vya kiboya eti kama nipo ndani nitoke nje kuna difenda wameiagiza ije inikamate aisee, nlitoka sikukuta kitu. nikablock namba yao na app nikafuta tangu mwaka jana hadi leo wamekausha
 
Duuuuh kazi kweli kweli
Yani imebidi nicheke tu
Sasa ina maana nyie wadaiwa wote hamna mpango wa kulipa ama nini?
Hayo makampuni kazi wanayo
 
Nina daiwa laki moja na tala,nimeshindwa kuwalipa kwa wakat deni lao,kutonana na matatizo ya kifamilia.

Nakosa furaha maana tala wananitumia ujumbe wa vitisho,kuwa watanitangaza kwenye radio na magazet kuwa Mimi ni mdaiwa sugu.

Pia wanasema wameanza kunifuatilia kwenye mtandao wa tigo na mtaani kwangu kwa kutumia jeshi la Polisi.

Nakosa furaha kabisa, natamani kuwalipa lakini vyuma vimekaza sana.
Nifanyeje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wakutangaze..watKua wanakupiga kiki...mjini hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam wa kukopa tujuzane,
App ambazo zimezoeleka zaidi ni Tala na Branch kwa kutoa mikopo kwa haraka bila longolongo, mana kuna apps zimeanzishwa za kuzingua,
Kama kuna zingine kando ya hizo tujuzane, ambayo mtu amekopa ikawa na mrejesho mzuri.
Kumbuka ni App toka play store na sio ushauri mwingine
tumia app mpya isiyo na riba inaitwa tara
link yake hii hapa kwa wale wa playstore
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mkopo.tara
 
Jamaa wananitumia sms kama hizi ila wananidai 11,880 tu
Screenshot_20190415-163752.jpeg
 
Dawa ya deni kulipa Ngosha, lima manumbu mamchele ya kutosha lipa deni, utafungwa wewe

Ila Branch nao sio kwa vitisho vile aisee, na hivyo vifungu sijui wanavitoa wapi?

Hara na wewe Ngosha 11,880 mpaka usumbuane nao kweli au hutaki kulipa?
 
Hakuna kitu hapo. Hivyo ni vitisho tu na hakuna chochote kike watakacho fanya. Lakini kwanini hutaki kulipa deni unalo daiwa.???

MGC
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom