Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 152,998
- 453,945
Hahahhaha kumbe ndio inavyokuaga vitisho hiviMimi Branch ndo wananitesa, sms za vitisho hatariiii fire
Nataka nimuuzie Pierre Liquid kesi watasikia tu
"Aaaah Branch, Branch ikidhurumiwa itabaki kuwa juu, juu mawinguni, itabaki kileleni, chiiiiiiiii"View attachment 1065947
Mm nikikwama kiukweli tala na tigo nivushe wananisaidia sana na huwa nawalipa kwa wakati
Mkuu dawa ya deni kulipa jitahidi ukipata uwape