Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,566
- 2,944
Makaramu =sherehe utawekaje mfukoni sheikh-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi
Mengine mtaendeleza nyie