Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi

Mengine mtaendeleza nyie
Makaramu =sherehe utawekaje mfukoni sheikh
 
-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi

Mengine mtaendeleza nyie
kila mtu aishi anavyoona ni sahihi ila kuwala ma beki 3 hii itakuunderate milele
 
Huu
-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi

Mengine mtaendeleza nyie
Huu Uzi ni burdani tosha🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom