Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi

Mengine mtaendeleza nyie
Peleka haya mambo jukwaa la vichekesho.
 
-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi

Mengine mtaendeleza nyie
-- kuhadithia movie za akina kanumba.
-- kuvaa suruali ya kitambaa ndani umevaa bukta.
_ kuweka makaramu( makalamu) mengi mfuko wa shati.
-- kuvaa T-shirt lenye mapicha picha.
-- mkanda wa bakoz ni upi?
Hebu fafanuwa hyo heshima utaivunja vipi?
 
Bila shaka hili ni jiwe gizani pole dear fashionista! Kuna kadada kwenye daladala kamevaa hiyo jeans haina sehemu za mapaja kabisa khaa hizi swagger bana wanawake wa mikoani tunapata tabu sana kuelewa
Wala hata mie sio fashionista, ila zkusema tu kuhusu hivo wahusika ndo wanajibu hivyo.
 
Back
Top Bottom