Usipokopa kwa kiasi utageuka yahaya

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Mabibi na mabwana tunashuudia mambo mbalimbali katika maisha ya kila siku, mojawapo ni kuzidiwa na kujikuta unakopa/unaazima hela kusuluhisha mambo flaniflani yanayojitokeza kwa dharura. Angalia yasikutie doa

1. Kijue kipato chako kwa sekunde, dakika siku, na kwa mwezi unaingiza shilingi ngapi?

2. Kuna kushindwa, usijibust kwa kukopa kwa mambo yasiyo na maana mfano, unakopa kulipia harusi, pombe, vuta subira, kopa kwa emergence za kwelikweli kama ugonjwa n.k

3. Lipa mara moja deni, usiache gape nyuma likajakutanana na tatizo lingine ukajikuta unakuwa yahaya

4. Ishi maisha yako original kama nilivyosema hapo juu kwamba tambua kipato chako na hivyo usiige marafiki, wengine wana hela za urithi hivyo hawajui uchungu wa hela, hawana majukumu, na wengine washakuwa mayahaya wazoefu

Karibuni
 
Mkuu kuna kitu najifunza hapa hasan hapo kuacha magape ndio palipoibebesha had I nchi hii den kubwa LA taifa,hapo ndipo panafanya mitaani siku hizi wakopaji wasiaminiwe,Tumuombeni rais wetu magu akumbuke kipato cha mtu wa chini akitoboi siku kumi na 15 za mwez zinazobakia ajaribu kuwakumbuka vibarua na wafanyakazi hapo mei mosi kwa kutoa mishahara elekezi wawekezaj wanaumiza raia waziri wa kazi wabaneni hawa watu
 
Back
Top Bottom