Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

  • Kuvaa mkanda wa plasitic,
  • Mshati yenye picha picha,
  • kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi,
  • Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande,
  • Kuvaa suti yenye rangi mbili,
  • Kuwa na wallet mbovu iliyochakaa,
  • Kuvaa suti na sandals
  • Kuvaa cheni fake,
  • Kuvaa mipete zaidi ya moja kwenye mkono tena fake!
  • Kuweka makalamu mengi kwenye mfuko wa suti.
  • Kutembea nakitambulisho nje mazingira yako ya kazi,
  • Kuvaa kamba yenye flash disk hadi kwenye ma baa
  • Kuwa kwenye baa na kuanza kuwasha laptop


Mengine endelezeni

dah umenchekesha kweli!
. na hii pia ya kutafuna tafuna ovyo mara big G, karanga
. Pia kujitia ujuaji mfano upo kwenye daladala na kila wimbo unaopigwa unajidai kuufahamu ili mradi tu uonekane
 
Kufungua madirisha ya gari na kuwasha muziki sauti ya juu sana unakatiza mitaani taratibu.
 
Mamii,dalili ya kubanja ni kukereketwa koo. Nikianza tu dalili naulizia washroom, naenda nabanjuka weeeeh narudi swaafi! Kikiniponyoka natoka mbio kuisaka mwenyewe washroom,lol
mhhhh!!
vyote mbaya unapokuwa kwenye public.

Nikuulize swali - ukiwa kwenye conference/meeting au kanisani/msikitini, ukibanja unatema chini au unafanyaje?
 
Kujifanya unachomekea misemo ya kiingereza katika sentensi hata zisizohusiana!

umenikumbusha kuna 'sista duu' mmoja nilimuuliza shule umemaliza lini
akanijibu 'two hours ago' mwenyewe ndo kasema miaka miwili iliyopita...lol
 
Mweeh! Si unaweza ukatapika magimbi uliokula juzi! Mi ntatoka aisee,nisipopata washroom huko kwenye corridor ntatemea kwenye tissue au handkachief potelea pote! Lol
Hii unafanyeje uko ndani ya ofisi za watu??inabidi utupie tumboni!!
 
  • Kuwa na limkoba kuuubwa lakuweza kuficha mtoto kwa wadada!!
  • Kuva mkanda unapicha ya Obama
  • Kuwa na kitambaa cha mkononi kikiwa na rangi za kijah au mafuvu mafuvu
  • Kuwa na gari imejaa madori
  • Kubandika stika kila mahali kwenye gari
  • Kupamba gari mataa,elia kibao utadhani studio
  • Kuvaa ssuruali ndani unakikaptula,
  • Kuvaa shati huna vesti ndani!
  • Wanawake kuweka kalikiti huku inachuruzika mafuta!
 
Kuchomoa CHUPI iliyonasa katikati ya MSTARI WA MASABURI tena mbele za watu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
na hii kwa ladies aisee...kuvaa chupi ya bendera ya tz,jamaica au usa....lol
au yenye picha ya bob marley....
 
Kwa wakaka kushughulika huku wanatoa sauti ya " sshhhhhhiiiii!!!" hadi mate yanatoka.
 
Kubanjua maganda ya muwa njiani au kwenye kadamnasi wakati umekula pamba za nguvu.
Kutafuna gum (a.k.a. jojo) kwa sauti mpaka watu walio mita 20 toka kwako wanasikia (Mi hata wale wanaotafuna na kupuliza maputo ya jojo siwapendi!).
 
Umetoka lunch unatembea njiani na lijiti la kuchokonolea meno kama mswaki!
 
makope oversize mtu anakuwa kama mdoli
hahahaaaaaaaaaa

bro sasa mbona unakua muwazi sana?? yani hapa ofisini kuna mtu amevaa kope ndefu amekua kama ameotesha mbelewele machoni

hahahaaaaaa

kama huyo hapo chini
yeyelashes.jpg
 
demu kujitangazia kutongozwa na local stars ukiwa unamtaka!!!sijui mimi kanumba alinitaka nikamtosa sijui TID ananisumbuga katika simu!mara papa msofe alinikuta rose garden akataka kunipa milioni 5 alijua mimi mbabaikaji nikamchomolea!!!!!!!!
 

Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom