thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,941
- 1,844
habari wana JF,
Husika na kichwa hapo juu,mimi ni kijana wa makamo,mtanzania mwenzenu ninaehitaji msaada wa kielimu.
Kwa kufupisha maelezo,baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha form6 ya daraja la tatu,niliamua kutumia cheti cha form4 ambacho kinaridhisha kwa kupata daraja la kwanza.
Nikabahatika kuchaguliwa diploma ya Electronics and Telecommunications engineering pale DIT lakini kwa kukosa ada nimeshindwa kupata masomo kabisa tangu mwaka Jana 2016,
Yeyote atayeguswa na shida yangu basi namtangulizia shukrani za dhati sana.
Nisaidieni watanzania wenzangu nina ari ya kusoma lakin ugumu wa maisha unanikwamisha Mimi,nimeomba misaada ofisi nyingi sana takriban mwaka sasa sijapata,naumia nafsi sana,nimetoka mkoani nipo Dar es salaam kutwa nzima natembea kuomba misaad lakini sijapata tumaini mpaka sasa.
Kwa atakayeguswa awasiliane nami kwa namba +255625697394.