Usipite bila kusoma hapa, msaada wa hali na mali

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,941
1,843
habari wana JF,
Husika na kichwa hapo juu,mimi ni kijana wa makamo,mtanzania mwenzenu ninaehitaji msaada wa kielimu.
Kwa kufupisha maelezo,baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha form6 ya daraja la tatu,niliamua kutumia cheti cha form4 ambacho kinaridhisha kwa kupata daraja la kwanza.
Nikabahatika kuchaguliwa diploma ya Electronics and Telecommunications engineering pale DIT lakini kwa kukosa ada nimeshindwa kupata masomo kabisa tangu mwaka Jana 2016,

Yeyote atayeguswa na shida yangu basi namtangulizia shukrani za dhati sana.
Nisaidieni watanzania wenzangu nina ari ya kusoma lakin ugumu wa maisha unanikwamisha Mimi,nimeomba misaada ofisi nyingi sana takriban mwaka sasa sijapata,naumia nafsi sana,nimetoka mkoani nipo Dar es salaam kutwa nzima natembea kuomba misaad lakini sijapata tumaini mpaka sasa.

Kwa atakayeguswa awasiliane nami kwa namba +255625697394.
 
Nikajua Nape Kajiuzulu Ccm Kahamia Cdm . Cha Kukushauri Ndgu Yangu Wazo La Kusaidiwa Kusoma Liondoe Bakiza % 35 Tu Na % 65 Za Akili Yako Wekeza Kwenye Kujikwamua Wewe Kama Wewe Kiuchumi Kupitia Mtaji Ulionao Ambao Ni Nguvu, Bidii Na Akili Nakupa Akili Moja Hivi Unajua Ukichukua Tololi Ukanunua Karoti Ukazifunga Kuuza Bku Bku Unaweza Pata Faid , Ok Dar Wenye Akili Tu Ndo Wana Survivu Ebu Tumia Akili Kufanya Jambo La Ajabu Kiuchumi Ili Uepukane Na Kuomba Ingawa Sikuzuii Kuomba Msaada ,,, Ukiwa Unafanya Hayo Mtangulize Mungu
 
Cc:Olomi Pantaleo ofisi za hapo TSSF zinapatikana wapi?
 
Nikajua Nape Kajiuzulu Ccm Kahamia Cdm . Cha Kukushauri Ndgu Yangu Wazo La Kusaidiwa Kusoma Liondoe Bakiza % 35 Tu Na % 65 Za Akili Yako Wekeza Kwenye Kujikwamua Wewe Kama Wewe Kiuchumi Kupitia Mtaji Ulionao Ambao Ni Nguvu, Bidii Na Akili Nakupa Akili Moja Hivi Unajua Ukichukua Tololi Ukanunua Karoti Ukazifunga Kuuza Bku Bku Unaweza Pata Faid , Ok Dar Wenye Akili Tu Ndo Wana Survivu Ebu Tumia Akili Kufanya Jambo La Ajabu Kiuchumi Ili Uepukane Na Kuomba Ingawa Sikuzuii Kuomba Msaada ,,, Ukiwa Unafanya Hayo Mtangulize Mungu
Asante mkuu japo umeshauri nje ya box.
 
Kama unataka kusoma kweli husingepoteza muda kuombaomba tafuta kazi fanya kwa malengo kwa mwaka mmoja utapata ada
 
Kama unataka kusoma kweli husingepoteza muda kuombaomba tafuta kazi fanya kwa malengo kwa mwaka mmoja utapata ada
Mkuu haimaanishi sijafanya kazi,lahasha nimefanya na nimejitahidi kulipia vyeti vya sekondari,the remaining ni nauli ya kuzungukia kutafuta watanzania wenye nia ya dhati kusaidia wengine.
 
0624700666 wasiliana nao then wameongeza muda wa ku-apply
Mkuu upo sure diploma wanasaidia?
Na vipi mbona nimeingia katka website yao naona habari za bachelor degree tu au kuna ushuhuda wa aliyewahi kuwa diploma akasaidiwa ili nami nipate moyo?
 
Unataka electronic, anza na practical, theory bsadae,kajiunge ktkt fani hii mitaani kwanza,ukipata visenti tafuta pata hizp karatas/gamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom