Usipende sana kusaidia watu kwa kutumia pesa zako, la sivyo utaishia kufilisika

Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
Wewe baki na roho yako mbaya. Usitufundishe namna ya kutoa msaada maana wakati tunazitafuta haukuwepo.
 
Wewe ndio real Daniel Kigozi aka Navio wa Klear Kut?
Kusaidia ni inborn character, huwezi kumfundisha mtu kusaidia au kutosaidia. Waache wenye moyo huo waendelee kusaidia. By the way, hizi mali na utajiri tutaviacha tu hapa duniani.
 
Okay, lets says asingesaidia watu, hizo pesa angezipeleka wapi? Okay, hicho kidogo alichobakiza kaondoka nacho?
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
 
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
Daah kweli ww bogus sasa izo ela ata kama angekuwa nazo kama wewe usiyesaidia watu angeenda nazo uko kaburini eeeh au angewaachia mabogus kama wewe mtumbue.
 
Wewe baki na roho yako mbaya. Usitufundishe namna ya kutoa msaada maana wakati tunazitafuta haukuwepo.
Hujamuelewa mtoa mada ,ishu si kutoa ,ishu ni kutoa cash ,hakuna tajiri anauwezo wa kulea yatima wote wala wajane wote hata akijipiga mnada ,unachotakiwa usijipe obligation yoyote ,mengi alijiwekea kila tarehe fulani anatoa pesa fulani huku anaita mamedia ,hivi unajua bakhresa misaada anayotoa ? anajengea hadi watu nyumba ila yeye hana vya muendelezo au obligation akikuta failia zimepata mafuliko ziko mtaani anajenga nyumba za bajeti ndogo 30 kimya kimya anaita anawagawia kimya kimya anawapa mtaji milion mbili mbili ,anatemana nao .mambo ya kuitwa baba sijui mkombozi hana huo muda ,inamaana siku bakhresa akiyumba hatoi na hakuna wa kulalamika
BRO WANADAMU HAWANA SHUKRANI UNAPOWASAIDIA MSAIDIE MUNGU KWA KUSHUKURU KWAKE KUWA ANGEAMUA UNGEKUWA HAO BASI ,LEO WATOTO WA MENGI UKIACHA MAJANGA YA KUETEWA KAHABA KWENGE MALI ZAO HALALI PIA WAMEPEWA ULIDHI WA KUSAIDIA KUNAKOZIDI UWEZO WAO
 
Mkuu umeongea bonge la point, kuna mtu anaposaidia hupata amani moyoni sana
Kusaidia ni inborn character, huwezi kumfundisha mtu kusaidia au kutosaidia. Waache wenye moyo huo waendelee kusaidia. By the way, hizi mali na utajiri tutaviacha tu hapa duniani.
 
Hujamuelewa mtoa mada ,ishu si kutoa ,ishu ni kutoa cash ,hakuna tajiri anauwezo wa kulea yatima wote wala wajane wote hata akijipiga mnada ,unachotakiwa usijipe obligation yoyote ,mengi alijiwekea kila tarehe fulani anatoa pesa fulani huku anaita mamedia ,hivi unajua bakhresa misaada anayotoa ? anajengea hadi watu nyumba ila yeye hana vya muendelezo au obligation akikuta failia zimepata mafuliko ziko mtaani anajenga nyumba za bajeti ndogo 30 kimya kimya anaita anawagawia kimya kimya anawapa mtaji milion mbili mbili ,anatemana nao .mambo ya kuitwa baba sijui mkombozi hana huo muda ,inamaana siku bakhresa akiyumba hatoi na hakuna wa kulalamika
BRO WANADAMU HAWANA SHUKRANI UNAPOWASAIDIA MSAIDIE MUNGU KWA KUSHUKURU KWAKE KUWA ANGEAMUA UNGEKUWA HAO BASI ,LEO WATOTO WA MENGI UKIACHA MAJANGA YA KUETEWA KAHABA KWENGE MALI ZAO HALALI PIA WAMEPEWA ULIDHI WA KUSAIDIA KUNAKOZIDI UWEZO WAO
Hapo nimekusoma mzee baba. Sina tena tatizo na mtoa mdada
 
Write your reply...kusaidia Ni Jambo jema ila yategemea unasaidia katika kiwango kipi ,hupaswi kusaidia ukapitiliza kiasi Cha ww kutokuwa nacho lazima ujingalie kwanza na kutadhmini usaidizi unao utoa unamatokeo gani kwako
Kussidia ni hulka mtu aliyezaliwa nayo mkuuu hiii ni tabia ya mtu, ni Kama mwizi ambae amezaliwa na tabia hiyo ataacha Leo kesho atataka kuiba hivyo acha uchoyo Mali zote tumezikuta hapa duniani tutaondoka tutaziacha
 
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
Hata Kama hutasaidia, ukitaka kufilisika utafilisika tu? Kupata na kukosa ni sawa na kuendelea kuwa navyo au kuishiwa, kumbuka MUNGU akiamua kukunyanganya atakunyanganya hata Kama hujawahi kutoa msaaada wowote tegemea MUNGU kwa kila jambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom