Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,342
- 40,207
Usipende nyumba ndogo au mchepuko wako ujue vyanzo vyako vya mapato.Ukikosea tu hapo...utakuwa unapishana na maendeleo.
Kipaji tu mkuuUnawezaje kuanzisha nyuzi labda 4 kwa wakati mmoja?!
ha ha ha najua ulichokiwaza mkuuKipaji gani
Kweli mkuu,kikao kinaweza kuwa kireefuuu,kikaishia na maamuzi ya kuongezewa posho ya sh.500Kichwa cha uzi kina maneno mengi kiliko uzi wenyewe!
Utunzi unauweza basi tuandalie na kakitabu cha maisha na mahabaUnawezaje kuanzisha nyuzi labda 4 kwa wakati mmoja?!
Hapo sina jibu mkuu,labda utupe uzoefuvipi kama mchepuko au nyumba ndogo ndio vyanzo vyako vya kipato.?
Kwa nini Mkuu?Kongole kwako Mkuu
Hiyo biashara hailipi mkuu;ni bora utengeneze katuni tu kama kipaji kipoUtunzi unauweza basi tuandalie na kakitabu cha maisha na mahaba
Kipaji kipo tupate comics?!Hiyo biashara hailipi mkuu;ni bora utengeneze katuni tu kama kipaji kipo
Ni kweli mkuu,kama ujuzi upo unatengeneza zinazoendana na mazingira yetu...na unafungulia channel yake 'youtube' n.kKipaji kipo tupate comics?!
ha ha ha kama ni hivyo mkuu,tutakuwa tumekula malimbwata yakutoshaNahunga mkono hoja
Pia ni marufuku kula na kunywa kwa mchepuko kujikinga na limbwata