Usipende kuzoeana na watu, utaishi kwa furaha sana

Hahahaa !!! Tatizo ulicheka na nyan mpaka wakakuona bwege dunia hii ya sasa hutakiw kutabilika mm ni both kauzu na kuna mda huwa naongea na watu watu wakihoji mbona jana ujasalimia nawaambia kuna sehemu nilikuwa nawah yaan salamu huwa haitabilik naweza kukusalimia au nisikusalimie yaan ni mtata
Na shobo ndo zikakufanya upigwe chupa za kichwa na yule manka mwenye bar! Ungekuwa kama unavyosema usingedhalilishwa kiasi kile. Jifunze kuyaishi usemayo, usiongee kufurahisha kundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom