Usipende kurukia rukia mambo! Kila ukiona unadhani!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
66039_178283018976537_110975784_n.jpg


Hii ni kali Boflo upoooooooooooooo Mbuzi Mzee je wewe unaionaje?
 
Last edited by a moderator:
Hiki kisa nakumbuka kilishawahi kuletwa hapa JF siku za nyuma,si vibaya kurudia tena kwa kuwa kitu kizuri huliwa zaidi ya mara moja!
 
Sasa alikuwa anawahi nini?maana kwani ni kosa kuoga namla ile yaani ukikutwa watu wanaji "sevia?sidhani kama kuoga bila nguo ya ndani ni kosa na adhabu yake ni kubakwa
 
Back
Top Bottom