Usipange ndoa na Wanawake wa umri huu 18-22

Hahha mara utasikia 25+ wameshatumika sana, so the right age is 23-25, oky by the way kila mtu ana mtizamo wake, lakini wangu mm kujielewa au kutokujielewa hakutegemei umri wa mtu, unaweza ukaoa ambaye ni aged enough lakn ile mipango ya kimaisha ipo mbali naye kabsa, so anaweza asiwe msaada kwako. Do not over analyse life, life has no meaning but what we bring into life has meaning.
 
karibu uone age nzuri ni 23 na kuendelea
 
Back
Top Bottom