Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
shida nyie zisikieni tu ushawahi kushika simu unaanza namba ya kwanza ad ya mwsho huon nan wa kukupa ata buku mbil na apo una mke na watoto na mdada wa kaz? Yan kuna kipnd maisha yanakutandka ad housgirl anakusaidia kuwaza mana ww na mke wako mshanoki ubongo yan mdada wa kaz yeye ndio anajiongeza anajua duka gani akienda awez kosa mchele kwa kukopa na kibanda gan awez kosa chainiz za jero wanaume tukipata hela tuwen na akil na heshima ya pesa pia shida zipo na zikimaliza kukufundsha na zkaona somo limeeleweka ua zinaondoka sasa
Maisha ni kupanda na kushuka....ni kujifunza kutokana na makosa..boranukipata helanununue msos wa kutosha ..ukipata tena unaongezea msos..hakikisha kastock ka msos hakakauki..maisha haya kutegemea rafiki yalishapitaga