hahahaaaaaaaaaa,umeona kinyonga nini mkuu
Mhh sitaki mkono kuanzia leo mmhh akitoka na kitu je
Tehe tehe teheeeeeeeeeeeeeeee,hapo umeniweza hata mimi nimejikuta nimetumbua mimacho wacha kabisa
Si bora mkono! Je wauza karanga? Ooh ngoja nikuonjeshe..nishaacha mwaka wa kumi sasa