usiombee akusalimie kwa kukupa mkono

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,824
1,095
salamu za kupeana mikono
 

Attachments

  • 1408640183485.jpg
    1408640183485.jpg
    38.9 KB · Views: 942
hahaha aisee duh kuna umuhimu kuanza utaratibu wakusalimiana kwa mbali
 
Hii naona ni ya mwaka na hata huko ulaya dizaini hii hakuna labda machina ndo wataiga na wao ili waipeleke huko kwao na ni wepesi sana
 
Kitu kama hiki nilikumbana nacho kipindi flani wakati nasoma....
Nilikua napenda kunyonya nyonya peni kwa nyuma, siku nikamwazima jamaa yangu peni, ye alikua anapenda kuchokonoa pua kwa peni...
Alivyonirudishia nikajisahau nikaanza kuinjonya, daaah nilikula kamasi hivi hiviii...
 
Back
Top Bottom