Usiombe yakukute

inama

Senior Member
Oct 9, 2021
181
349
Habarini wana JF natumai muu wazima

Kilichonifanya niwe hapa ni speed yangu katika mahusiano nimekua mtuu wakuharakisha mambo sana.

Mfano naweza muomba mwanamke namba alafu halijapita lisaa nikamtongoza hii inapelekea nikataliwe

Au naweza chukua namba alafu chakuchat sina ila kupiga mistari nipo fresh

Msaada nyie wenzangu mnawezaje kuvumilia au mnapataga wapi mada za kusogeza siku ili uweze kumtongoza
 
Mbona tupo wengi
 
Ukishachukua namba ya mtu mzima wa jinsia tofauti na yako,kwa uelewa,anaelewa kinachofuata ni kupigwa sound, cha muhimu ujiamini kwa kile unachomuomba
 
Duhh kweli kazi ipoo yani mdawakuomba namba nakuanza kulizana umeshindaje sijuimnapata wapi minaanzaga kutongoza tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom