Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Mkuu akileta uzi unaofanana na huu (copy and pest)
Nakuhakikishia sitoishi,inawezekana kuna mtu amepitia hali kama hii lakini nakuapia siyo copy and paste!
Hii imenisibu mwenyewe,na picha za jeraha nimezipiga mwenyewe!!!
Ok mkuu...usipaniki tayari una janga!

Huna picha za hospitalin kuonesha bandeji or something else related this saga?
 
hizi post zngne bhana sio, uongo nao unahalalisha kuw ukweli kweli?
jaribu kutunga tungo zenye mukweli nasio uongo na picha za uongo, kwan hayupo bingwa wa kupiga na kupiga picha km ww ulivofanya aise
 
Hii stori kama sio Chai....nakomenti hivi

Mkuu hapo kifo kinakufuata as soon as posibo... fanya transfer potea mazima/badili hata namba za simu...

NOTE: Umekipata ulichokitafuta so mengine Jifunze na uchukue maamuzi kama kiDume..uliyataka na unavosisitiza unampenda Yajayo utayafurahia paradiso
 
Kweli. Maana nimeandika na kufuta zaid ya mara 3

nayo ni busara Mkuu.... ila toa neno unaeza okoa uhai wa mtu manake naona kila dalili za mtu kuteketea huko mbele ya safari...

.atakuja kukatwa Dusheeee..mpe advice hii generation ya kichaa iko stressed sana
 
Mkuu hiyo case mbona ndogo sana?Mke wa kweli yupo Singida huyo wa Tanga ni kurumbembe tu maana tayari kaishazalishwa watoto wawili tena inawezekana na baba tofauti halafu eti unaumiza kichwa kwa mtu km huyo,
Leo kajikata mkono wake endelea kumfuga ili kesho aikate Dushe yako ukiwa umelala si unajua haina mfupa anakata Chaap kazi kwisha.
Solution toa taarifa polisi haraka ili uwe salama aisee huyo sio mtu,rejesha upendo kwa mama watoto wako wa Singida
 
Hili ni janga hatar Sana ooh my God omba Mungu Sana yaan sali kutoka moyo tubuu na Uhakika atakuepusha na hii balaaa

Fanya mpango uhame hapo
Onyo, usimwache wa singida Mungu alikupa mke mwema tamaa za shetan zimekuponza
Sasa rud utubu Kiri kutoka rohon atakusamehe
 
Ok mkuu...usipaniki tayari una janga!

Huna picha za hospitalin kuonesha bandeji or something else related this saga?
Mkuu sinaga kawaida ya kudanganya,namshangaa mtu anayekuja kubisha eti picha si halisi!

Binadamu bhana wana mambo sanaaa!!!
 
Uli-solve vipi mkuu,naomba uzoefu wako kwenye hili tafadhali!!
Mkuu bado ngoma mbichi. Nimeamua kuangalia tu mambo yajiendeshe menyewe. Siku nyingine huwa najitoa ufahamu tu. Mwanzoni nilikuwa siwezi hata kuvuka barabara kwa mawazo hadi naomba watoto wa shule wanivushe.
 
You can't pass through this shit yo!
Satan is busy doing his work, one advice! Choose your on deck.
You gotta choose
 
Mimi nina kisa changu kiasi flani kinataka kufanana na chako. Nikiamua kukielezea hapa jukwaa litasimama.
Ni historia ambayo imenifanya niyaone mapenzi yanaweza kuleta huzuni kubwa sana. Unajikuta upo katikati na kila mtu anakuhitaji na unashindwa umchukue yupi umwache yupi. Acha kabisa.
mkuu tumegee kisa tupate kujifunza ya ulimwengu wa mapenzi
 
yani humpendi mtu bado unampa mimba ya kwanza sawa imetokea tu n aya pili tena ...we una shida na umeileta mwenyewe sasa hunabudi kukubali na kuamua tu moja..Tnaga au Singda ila utalea watoto wako na utawasiliana na pande zote. SEMA UMEFANYA UZEMBE SANA
 
Nilishakataaga kumpa ujauzito mwanamke ambaye sina hakika kama nitakuwa naye katika ndoa. Funzo kwa vijana. Kumpa mimba mwanamke ambaye huna malengo naye ni uzembe uliopitiliza. Hakuna mimba ya bahati mbaya. Kijana jifunze kutowabebesha ujauzito wanawake ovyoovyo. Samahani mtoa mada hili halikuhusu kwa kuwa kwako yameshamwagika.
 
pole sana!! si ulikua unaenjoy lakini unapo mpa mambo!! tena ukizingatia wife yupo singidani full kujiachia..hapo ndo ule msemo unaingia "Tamu hugeuka shubiri"
 
Mkuu sinaga kawaida ya kudanganya,namshangaa mtu anayekuja kubisha eti picha si halisi!

Binadamu bhana wana mambo sanaaa!!!
we mwenyewe una mambo sana..unawezaje ishi na mtu anataka kujiua...kesho atajiua utakula wewe msala ule maisha jela kwa kuua kumbe kajiua..au akukate mbisu kwa kukomoa basi wa Singida akukose kabisa...yani we unacheza na HATARI
 
Pole sana mkuu,we ndio mwenye makosa lakini kwa sasa huwezi kulaumu;bali ni kutafuta suluhisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom