Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Sijui pesa kuenda wapi,sina michepuko nina kagari na kapikipiki tu basi
Gunyumba hagujaisha kujenga
Je wewe ulishawahi kuishiwa kiasi cha kuona kizunguzungu halaf hata wa kumkopa kumkosa ?yaan hata hamu na bint yeyote sina mm pesa yaan pesa tu
msimu wa kilimo mwakan tutakutana shambani nimeshaorder kama heka 200 ni 50000 per heka za kulima mahindi,maharage,alizeti,ngano,mbaazi na uwele hizi kazi za kuajriwa ni za kupatia mtaji tu unaweza kuishiwa hata nguvu za kiume kisha stress

#Ama kweli Pesa kwanza mengine mazuri huja
 
Sijui pesa kuenda wapi,sina michepuko nina kagari na kapikipiki tu basi
Gunyumba hagujaisha kujenga
Je wewe ulishawahi kuishiwa kiasi cha kuona kizunguzungu halaf hata wa kumkopa kumkosa ?yaan hata hamu na bint yeyote sina mm pesa yaan pesa tu

#Ama kweli Pesa kwanza mengine mazuri huja

Aisee wewe huna Malengo mzigo wote huo umeshaisha halafu unasema huna mchepuko- Ila unajua kujipigia Promo
 
Hii lugha unayotumia tu inaelekea ukawa kama wale wazee maarufu kwa matumizi ndo maana unaishiwa.
 
We jamaa unakipato kidogo sana kwa mwezi! Upo dar au Sumbawanga? Kwa kipato hicho kama ni demu lazima uliwe kipara!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom