Usiombe kukutana na mwenyeji kijana ukiwa safari mkoa mwingine

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,708
70,998
Habari wakuu,

Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu, kila nikimuuliza huyo binti nikimchukua unaonaje? Utasikia huyo nimetembea naye.

Yaani kila ninayemuulizia utasikia jibu hilo hilo mpaka nikaamua kurudi gesti, nikamdanganya naenda kuoga, kumbe alikuwa kaniboa, nikaenda kuoga, nikahamia baa nyingine nikachukua demu.

Mimi kwa kawaida nikimchukua demu basi ni siku zote mpaka niondoke. Kama ningemsikiliza yule mwenyeji wangu maisha ya Babati ningeyaona magumu sana.
 
Maisha magumu kwa kukosa demu tu?. Naweza nikaenda dar hata wiki 2 nisiwe na mpango na demu kabisa mpaka nageuka. Usifikirie sana kwamba bila demu huwezi kuwa wewe. Fikiria tu kadiri unavyoweza kuwaepuka mademu ndipo unakuwa umekwepa mambo mengi na salama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengine ngono ni kama chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha magumu kwa kukosa demu tu?. Naweza nikaenda dar hata wiki 2 nisiwe na mpango na demu kabisa mpaka nageuka. Usifikirie sana kwamba bila demu huwezi kuwa wewe. Fikiria tu kadiri unavyoweza kuwaepuka mademu ndipo unakuwa umekwepa mambo mengi na salama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema,nimekaa miezi tisa bila kungonoka,Kuna wakati najikuta kwenye uhitaji mkubwa lakini akili inaniambia hata nisipofanya sitakufa,napotezea,nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na mwanamke wangu,niliyewahi kumpenda sana,ilikuwa SAFINA HOTEL pale makumbusho,baada ya hapo sijawahi Tena na maisha yanasonga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu, kila nikimuuliza huyo binti nikimchukua unaonaje? Utasikia huyo nimetembea naye.

Yaani kila ninayemuulizia utasikia jibu hilo hilo mpaka nikaamua kurudi gesti, nikamdanganya naenda kuoga, kumbe alikuwa kaniboa, nikaenda kuoga, nikahamia baa nyingine nikachukua demu.

Mimi kwa kawaida nikimchukua demu basi ni siku zote mpaka niondoke. Kama ningemsikiliza yule mwenyeji wangu maisha ya Babati ningeyaona magumu sana.
Siwezi shangaa, maana kuna ndugu yangu alikuwa kicheche sana kiasi kwamba anaweza kulala na madem wa3 wakati tofauti kwa siku, na mwezi mzima anaweza asirudie mademu hao...na hapitishi siku bila ya kungonoka.
 
Umenena vema,nimekaa miezi tisa bila kungonoka,Kuna wakati najikuta kwenye uhitaji mkubwa lakini akili inaniambia hata nisipofanya sitakufa,napotezea,nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na mwanamke wangu,niliyewahi kumpenda sana,ilikuwa SAFINA HOTEL pale makumbusho,baada ya hapo sijawahi Tena na maisha yanasonga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnawezaje ndugu yangu kukaa muda mrefu sana? Ila samahani aisee!

Mimi toka O' level hadi chuoni nilikuwa nikikaa wiki 2 bila kufanya, nashindwa hata kusoma!

Kwasasa, nikikaa sana ni miezi 2. Hapo sasa hadi najipongeza kwa ushujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahahaha. Sikuizi mpango bodaboda tu unaletewa ulipo. Manka wa mwanza
Habari wakuu,

Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu, kila nikimuuliza huyo binti nikimchukua unaonaje? Utasikia huyo nimetembea naye.

Yaani kila ninayemuulizia utasikia jibu hilo hilo mpaka nikaamua kurudi gesti, nikamdanganya naenda kuoga, kumbe alikuwa kaniboa, nikaenda kuoga, nikahamia baa nyingine nikachukua demu.

Mimi kwa kawaida nikimchukua demu basi ni siku zote mpaka niondoke. Kama ningemsikiliza yule mwenyeji wangu maisha ya Babati ningeyaona magumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ukiamua.
Umenena vema,nimekaa miezi tisa bila kungonoka,Kuna wakati najikuta kwenye uhitaji mkubwa lakini akili inaniambia hata nisipofanya sitakufa,napotezea,nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na mwanamke wangu,niliyewahi kumpenda sana,ilikuwa SAFINA HOTEL pale makumbusho,baada ya hapo sijawahi Tena na maisha yanasonga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnawezaje ndugu yangu kukaa muda mrefu sana? Ila samahani aisee!

Mimi toka O' level hadi chuoni nilikuwa nikikaa wiki 2 bila kufanya, nashindwa hata kusoma!

Kwasasa, nikikaa sana ni miezi 2. Hapo sasa hadi najipongeza kwa ushujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni akili yako tu,na namna unapeleka mawazo yako...
Ninachofanya ni ku-fix timetable yangu na kuifuata kila siku,baada ya hapo hisia za kungonoka zitakuja lakini utazishinda

Leo yenyewe Kuna mdada nilikuwa naye karibu,amejikosha kosha nikawa namcheck tu,nikamnunulia pepsi big,then nikatembea zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom