Usiombe hivi vitu viwili (2) vikutokee katika maisha yako

Kuna uncle wangu katapeliwa mil 50 aijifanya mjuaji kuagiza Gari mtandaoni..

Sasa yamemkuta hili haliwezi kumuacha salama.

Kuibiwa,kufilisiwa,kutapeliwa hayo nayo yanatuachaga vbya.
 
Kuna uncle wangu katapeliwa mil 50 aijifanya mjuaji kuagiza Gari mtandaoni..

Sasa yamemkuta hili haliwezi kumuacha salama.

Kuibiwa,kufilisiwa,kutapeliwa hayo nayo yanatuachaga vbya.
Huyo inabidi awe na mtu karibu kwa ajili ya uangalizi
 
Kukosa amani ni kubaya zaidi hata kama una pesa ikiwa amani huna jua afya hupotea hata kifo hufuata.
 
Back
Top Bottom